Dua za dhati kwa swahiba wangu Floyd Mayweather

My weather ameshinda kwa knockout round ya kumi baada ya kumsukumia makonde mfululizo usoni mc Gregory aliyekuwa ameloa damu usoni kidogo adondoke ktk kamba hadi nje ya ulingo ambapo referee amebidi amuokoe kwa kusimamisha pambano

Asante myweather kwa kutubeba waafrika

DJ sepetu
Ohoo kumbe bas sawa kule nishakubaliwa na baby wangu mbiti, nenda kaone mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom