Dua za dhati kwa swahiba wangu Floyd Mayweather

anything can happen, tyson mwenyewe alipigwa.spirit ambayo ataingianayo gregory itakuwa ni hatari sababu ataandika historia ambayo iotachukua mda mrefu kuvunjwa, kutoka kwenye mchezo tofaut na ngumi na kumpiga legend wa ngumi,sifa zote ambazo anazo mayweather zitaamia kwa gregory, na itakuwa mbaya sana sababu maywether atakuwa anastafu kwa kipigo so ata akistaafu kitakumbukwa kipigo kuliko mazuri yote aliyoyafanya, na yeye analitambua hili thats why atakuwa makini sana, lakin nimeangalia mapambano yote ya mayweather kupigwa sio rahisi kabisa
Mkuu, bora Floyd apigwe na mabondia wenye title zao tayari kuliko huyu ngedere Conor McGregor.
 
angalia usije ukachekwa na watu.


Floyd ana hela kuliko huyo Mesi na huyo C.Ronaldo.

Halafu kingine, jaribu kupambana na hali yako, ukiona unachukizwa na utajiri wa Floyd na wewe tafuta zako tuone kama mpaka unafariki kama utafikia hata theluthi ya utajiri wake.
Acha ushamba fatilia vitu huyo limbuken Floyd ni mchumba kwa Jayz na P didy ila wapo cool yeye weka utajiri wake na wa Man...Jiga ana maisha ..
UTAJIRI WA P DIDY $820 milion...Utajiri wa JAY Z $810 milion alafu utajiri wa mshamba Myawether ni $340milion ata nusu ajawafkia ila yeye kila sku ni kupga pcha na vinot daily. ..ushamba utakuja kumfanya maskin ajifunze kwa wenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ushamba fatilia vitu huyo limbuken Floyd ni mchumba kwa Jayz na P didy ila wapo cool yeye weka utajiri wake na wa Man...Jiga ana maisha ..
UTAJIRI WA P DIDY $820 milion...Utajiri wa JAY Z $810 milion alafu utajiri wa mshamba Myawether ni $340milion ata nusu ajawafkia ila yeye kila sku ni kupga pcha na vinot daily. ..ushamba utakuja kumfanya maskin ajifunze kwa wenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee unajua kusoma kweli?

Wapi nimeandika Floyd ana hela kuliko Jigga na P Didy?

Floyd ana hela ukimlinganisha na C. Ronaldo na huyo Messi.
 
Myawether nataka atandikwe aache ushamba. .mara kutembea na pesa na kupga nazo pcha mara msururu wa mabounser. ..aige wenye Pesa kina Jayz .$810 milion..P DIDY .$820 milion..yeye ata nusu ajawafkia ana $340 milion ila siku ni pcha kama demu na vinoti..wazungu wataendelea kituacha tu huwez kukuta kna Bilget. .na vijana kama kna Drei.. messi ..Ronaldo na wengne kwenye huu upuuz...wapo cool wakat pesa wanazo
Kwan Drei ni mzungu?????.......
.haraf mbona pdidy ana jeuri hadi jina kalibadilisha anaitwa dirty money.

Ila blacks wengi wana jeuri ya pesa wakizipata.

Carpe diem.....
 
Ukiona watu wanjisifia pesa ,elimu nk kwa watu wasiowajua basi ujue hawana hivyo wanavyojinasibisha navyo!
Cc hance mtanashati
Mtanzania mzawa

Sent using Jamii Forums mobile app

kwa hiyo unataka useme Floyd hana hela au?
The guy hapo juuu kasahau kitu, ukiona mtu anajipa shangwe. Juu ya hela zake au mafanikio fulani jua pia ame hustle kuzipata, ngoja ajipe shangwe kwa alicho tengeneza..

Carpe diem.....
 
maxresdefault.jpg
 
Back
Top Bottom