Dua na sala zenu....

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Habari wana-JF wenzangu, naimani mko swalama jumapili ya leo wengi mkiwa mmepumzika majumbani mwenu,

Ndugu yenu ktk jukwaa nipo safarini naelekea nyumbani Iringa so dua zenu na sala inshallah zitaniongoza ktk safari yangu nzima inshallah...

Nawatakia mapumziko mema wote..
 
Thnx members 4 ya prayers, namshukuru mungu nimefika salama nyumbani...
 
Mungu akutangulie, ila tu ukifika huko hofu yangu usijepandikizwa, ule ujasiri wa Babu zetu wa huko, (akina Mkwawa) wa kujitundika na kamba !
Unamkumbuka Mz. Abdallah Mwamindi ?
 
Mungu akutangulie, ila tu ukifika huko hofu yangu usijepandikizwa, ule ujasiri wa Babu zetu wa huko, (akina Mkwawa) wa kujitundika na kamba !
Unamkumbuka Mz. Abdallah Mwamindi ?

Hahahaaa hyo hakunaga sikuhz mkuu, namkumbuka sana yule mzee vp nawe mwenyeji pande hz? Au umepata kuskia tu habari yake?
 
Back
Top Bottom