mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 963
Ahaa. Na Allah ni nani?hapa ndo naposimama mimi,kila kitu kinakwenda kwa Qadar ya Allah

Asalaam alaikum...mzima??hapa ndo naposimama mimi,kila kitu kinakwenda kwa Qadar ya Allah
kuna rafiki yangu alishapelekwa kijijini na dada moja kwenda kutambulishwa kuwa ndo baba watoto mtarajiwa lakini haikuchukua miezi miwili jamaa kapata taarifa kua yule binti kafunga ndoa jana bila ya kumpa jamaa taarifa yeyote na inshu ndo proved kua dada keshafunga ndoa kweli jamaa alipo now namwonea huruma coz alimpenda sana yule dada lakini ndo kafanyiwa kitu kama hiko hapa alipo jamaa yupo chuo hana amani nisha mshauri avumilie but stress kibao wandugu hebu ushauri jamani nimsaidie huyu kijana
unaweza kujitambulisha wakaoa wenzako,huo tunaita mgawanyo wa majukumu na pia unaweza kuoa na wakazalisha wenzako...huku tunaita kusaidiana majukumu! Pia unaweza kutojitambulisha,ukaoa na kuzalisha ila akahudumia mwenzio ambapo tunaita kupunguziwa majukumu!
kuna rafiki yangu alishapelekwa kijijini na dada moja kwenda kutambulishwa kuwa ndo baba watoto mtarajiwa lakini haikuchukua miezi miwili jamaa kapata taarifa kua yule binti kafunga ndoa jana bila ya kumpa jamaa taarifa yeyote na inshu ndo proved kua dada keshafunga ndoa kweli jamaa alipo now namwonea huruma coz alimpenda sana yule dada lakini ndo kafanyiwa kitu kama hiko hapa alipo jamaa yupo chuo hana amani nisha mshauri avumilie but stress kibao wandugu hebu ushauri jamani nimsaidie huyu kijana
hapa sasa ndipo utakapo mkuta kijana mdogo ana kisukari na presha juu.
itabidi itolewe tution ya kuzoea vibuti kama hivi.
Aisee habibty mbona unanitisha na mimi nimeshaandaa fungu hapa??Waweza toa mahari na usioe wakaoa wengine waliokuzidi chapa seuze kutambulishwa lol...chezea mjini eeeeh
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
hii kali sana aisee