Hawa wakaka siku hizi hawaeleweki kuna wanaojitambulisha kuwa ni waoaji miaka inaenda yupo tu wala haoi, labda na yeye ni mmojawapo. Kama katokea mwoaji bora binti aoelewe tu.
Nakubaliana na wewe mpendwa...
Unakuta watu wapenzi zaid ya miaka 3 kila ukigusia ndoa mtu anadai hajajiandaa
Matokeo yake ndio haya akitokea mtu serious anachukua jiko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.