Hivi hakuna jinsi ya kuchakachua hii kitu?
Bofya hapa Channel - DStv.com Hakikisha kibox cha choose your country kiwe Tanzania na kibox kinachofuatia kimeandikwa choose your product chagua package moja baada ya nyingine kati ya hizi hapa chini alizo post Limbani, chini yake utaona list ya channel zote zilizopo kwenye hiyo package uliyo chagua na maelezo ya channel hizo1:Kwa anaefahamu malipo ya dstv kwa mwezi(viwango mbalimbali).
2:Je,
kuna uwezekano wa kuchagua chnl mf mpira,zinazoonesha wwe kama unalipia chnl 25?naomba kujuzwa!!
Kifupi ni package ya Premium tu ndio utaangalia mipira live zilizo baki utaambulia highlights tu na ligi za AfricaDSTV Access ni USD 10/month, Family ni USD20/month, Compact sina hakika but between 35 to 45 USD/month na Premium ni USD75