Mi ndo nshawaaga jana walichopokea toka kwangu ndo cha mwisho. Sifanyii kazi kulipa cable mimi. Huduma kwa wateja zenyewe ni kichefuchefu. Wamenifika kooni. Mnisaidie tu nifahamu kuhusu Azam na mie nihamie huko.
Guys hawa jamaa wananunua leseni kwa dolla..na sie twaona kila siku dola ikipanda..let's argue with facts and reasonings..kama kweli vifurushi vimepanda,they are right guys..
Nipo Dar KamandaVibanda vingi vya mpira wanapenda kuita shamba la bibi kwan wewe upo mkoa gani mkuu??
Tanzania kumbuka wameweka VAT mwaka huuu....
Na pia kumbuka dollar ni 2150
Kawaida ni dollar 82 kwa Tanzania ila sababu ya VAT na hiyo Dollar ndo maana inaongezeka hadi hukooo
Vat inakua appliex kwenye commodities na services hio bei niliokutajia hapo imejumuisha VAT kwa huko south africa sema hawa jamaa wanatumia kigezo hicho kulaghai watu VAT ilikua inatozwa tangu muda mrefu sema labda walikua hawajabanwa ila hio bei ya south africa ni pamoja na vat...wajinga ndo waliwao...hata south africa dola 1 ni rand 14 wakati ilikuaga rand 8...kwaio sio tija tanzania wananyonywa kuendekeza....vitu vya nje
Umeeleweka mkuu hapa ni swala la mfuko, basi tutakuwa tunaulizia matokeo ya premier.Mkuuu nadhani unakosea bishana na mie..
Dstv wao malipo yao ni kwa dollar na kwa hapa Tanzania wanacharge dollar 82 kwa mwezi exclusive of vat......
Vat imeanza rasmi mwaka huu na ndo maana kina azam na startimes wamepandisha bei zao za vifurushi.
Ukipiga hesabu za dollar ambayo ni 2150
Unakuta ni 176300
Ukijumlisha VAT ya 18% 31734
Jumla yake ni 208034
Pia kumbuka kuwa Premier League wamepandisha dau la kuonesha mechi zao, yaani dau wanalolipwa timu limeongezeka msimu huu hivyo lazima dstv nao waongeze...
Mwisho kabisa sio lazima ule mbuzi kama hela yako ni ya dagaaaaaa