DSTV wamepandisha tena

DSTV wamepandisha tena

Dear DStv subscriber, due to currency depreciation, please be advised that from 1 October 2015 the subscription for DStv Bomba will be TZS 23 500 per month.

Dah kuna mijitu mimaskini na milofa mmbwa! Yaani ka laki mbili kwa mwezi kanakutoa povu hivyo!
Acheni ulofa watz pigeni kazi sio kulalama kama mwanamke ambaye ameingiziwa ukuni.
 
Mie najiangalizia zangu laliga na Azam yangu, nyie bakini na EPL yenu na Dstv yenu mkome.
 
Tatizo wabongo mnashobo sana ndo maana wanawakamua maana premium kwa south africa ni R699 x 160 = 112,000tsh sasa huku wamezidisha mara mbili ya bei watu wanakomaa tu hahaha...

haha,haha hh
 
dstv hawana tatizo..tatizo ni kuporomoka kwa shiling ya tz
nan aliyesababisha shiling iporomoke?.....ni ccm

so fanyen yenu october 25
 
Dolar iko fixed wakuu, jaribu kuweka hayo malipo kwenye currency zao utagundua toka 2010 hawajapandisha cost.
Madafu yetu wanafanya tuone bidhaa zinapanda bei.
 
Dah kuna mijitu mimaskini na milofa mmbwa! Yaani ka laki mbili kwa mwezi kanakutoa povu hivyo!
Acheni ulofa watz pigeni kazi sio kulalama kama mwanamke ambaye ameingiziwa ukuni.

Huna akili wewe, kama sio bangi basi ni wale walio kulia za urithi,,,,, kabla ya Ku comment jitambue na atambue nchi yako kua wanaishi ktk kiwango kipi........
 
Back
Top Bottom