DSTV wamepandisha tena

DSTV wamepandisha tena

wanachoshaa kabisa! nadhan niwakati wa ving'amuzi vyetu kuonyesha ligi ya uingereza... coz nao with AZAM na STARTIMES tunaona ligi za Spain ma Jerumani..tuachane na huu ukiritimba na unyonyaji wa Makaburu...

Wameniudhu sana... Hata mwaka haujaisha wamepandisha gharama zaidi ya mara nne..waliazna 148000, 169000, 199000, leo wamekuja na 219000..wizi kabisa huu

Wapumbavu na washenzi wakuu ni kikwete na ccm yao.

These guys are very primitive, completely have failed to control Tsh as the result we citizens being victimise and slave of usd currency inflation.

Ccm na kikwete nimajanga.
 
Hatuwezi kuwagomea, kwani lazima tuangalie ligi ya U.K, hivi bei za DSTV kenya zikoje? Na SA?
 
Mi naona wako sahihi kabisa kwani wako kibiashara maana hata haya mabanda wanayoonesha mechi wamezidi yani siku hizi hata mechi ya kawaida tu ya Aston Villa vs West ham bila buku hawakuelewi sasa si bora tu na nyie mpandishiwe bei? tena wangefanya LAK 3
 
hii nchi maskini hana mtetezi ona watu wanajipangia bei wawezavyo kila mwezi ada inapanda
 
Kukosa kuangalia mpira (wa ligi ya Uingereza) hakuwezi kunifanya nipoteze maisha, naachana na DSTV rasmi. Hawa jamaa kweli ni wanyonyaji aisee. Hata sisi mishahara hatupandishiwi kwa namna wanavyodhani wao.

Apo ni kwenda kuangalizia ligi kwenye makumbi 2!!! Kwa wale tuliozoea kuangalizia nyumbani inabidi tuchukue uamuzi mgumu
 
Kutoka elf 17walipozindua juzi leo imeshafika elf 23 kwa kisingizio cha dollar, kweli huu ni wizi wa njenje
 
Duh, tutafute ving'amuzi vya bongo tupate habari. Mpira tu 219,000 kwa mwezi, labda ikiwa unafanya biashara
 
Azam ndo habari ya mjini Dßtv wanachojivunia sasa HV no EPL tu
 
Hii ndo serekali ya ccm anayoipigania doctor Slaa hivi sasa,hakuna chombo wala waziri anaeiuliza DSTV wanajiamulia wenyewe kila wanalolitaka
 
wanachoshaa kabisa! nadhan niwakati wa ving'amuzi vyetu kuonyesha ligi ya uingereza... coz nao with AZAM na STARTIMES tunaona ligi za Spain ma Jerumani..tuachane na huu ukiritimba na unyonyaji wa Makaburu...

Wameniudhu sana... Hata mwaka haujaisha wamepandisha gharama zaidi ya mara nne..waliazna 148000, 169000, 199000, leo wamekuja na 219000..wizi kabisa huu

Kwa kweli huo ni wixi mkubwa sana. Inakuwaje mtu wa Botswana analipia kiwango cha juu kabisa BWP 610 yaani TZS 125 000 tu?
 
Majanga, hv hakuna mamlaka ya kulisemea hili?
 
Watu wapo busy kuichagua CCM wakati wao ndo wanalea ujinga kama huu.
 
naelekea kuwachoka kama nilivyokichoka chama Fulani hivi.
 
Wanachaji pesa nyingi zanzibar 30000 tu huku bara nadhani tunamigodi tutawaachia wenye mshiko kaka hawa wamekuja kuchuma hapa tz serikal iwatizame hawa
 
Mi naona wako sahihi kabisa kwani wako kibiashara maana hata haya mabanda wanayoonesha mechi wamezidi yani siku hizi hata mechi ya kawaida tu ya Aston Villa vs West ham bila buku hawakuelewi sasa si bora tu na nyie mpandishiwe bei? tena wangefanya LAK 3

huko Tanga wana cable tv za waarabu wanalipia 15,000 kwa mwezi unaona mechi za ligi zote kupitia ben sports
 
Back
Top Bottom