DSTV wameingia mtaani, Startimes na wengine jiandaeni kisaikolojia

Wimi iliyopita nlikuwa napita sehemu nikawaona vijana wao wanauza hivi ving'amuzi nikasema ngoja na mm nijilipue!

Aisee..nmejionea huruma sana kwa hela yangu niliyoipoteza kuwapa startimes kwa muda wa miaka 2! Hawa dstv hakuna wakumlingamisha nae kwa hapa bongo, yani unaona hela yako inaenda kihalali.

Sasa kila kona nikipita naona vijana wamemwagwa kama njugu wanauza visimbuzi vya dstv, watu wananunua kwa wingi kwelikweli.
Azam ni kama maji usipoyanywa utayaoga au kutawazia hasa kutokana na kuonyesha ligi ya Tanzania. Dstv hawaonyeshi ligi ya tz
 
Nabii Tito yupo sahihi.
Mbona Freemasons wana mambo ya giza kuliko ya ndugu yetu Machibya
 
ukiwa umepigika getto unanunua kifurushi cha mwezi startimes kwa buku 9 tuu!!...
 
Wimi iliyopita nlikuwa napita sehemu nikawaona vijana wao wanauza hivi ving'amuzi nikasema ngoja na mm nijilipue!

Aisee..nmejionea huruma sana kwa hela yangu niliyoipoteza kuwapa startimes kwa muda wa miaka 2! Hawa dstv hakuna wakumlingamisha nae kwa hapa bongo, yani unaona hela yako inaenda kihalali.

Sasa kila kona nikipita naona vijana wamemwagwa kama njugu wanauza visimbuzi vya dstv, watu wananunua kwa wingi kwelikweli.
Ni aibu kubwa kijana wa kisasa kumiliki star Times nyumbani kwako...

Mm siku DSTV waje waondoke Tanzania naapa sitanunua king'amuzi Kingine chochote Kati ya Hivi vilivyopo maana ni uchafu tu!
 
Azam wajitathmini kwa kweli Dstv ni wajanja sana.
Sasa hiv hata package ya Bomba ya 19000 unapata channel za supersport kibao hadi Ss 3 sometym unapata.
Wikend ile iliyopita nimeshangaa sana kuziona gemu kubwa mbili za EPL Ss3 yaan ya Arsena na ya liver vs mann city
 
Dstv was enge tu. wametunyonya sana watanzania. Mm bora niweke bando la 50000 niangalie mechi online kuliko kulipia Dstv. South Africa na Nigeria bei ya premium haina tofauti na Azam au star times ila huku bongo Dstv malipo yamekua makubwa mno. Ushauri wangu serikali ingeifukuza Dstv Tanzania then wakaruhusu visimbusi vya bein au aljazeera vitumike official.
 
acha uo

acha ujinga na uongo huku kuna watu wenye akili alaaaah.... 69900 unaona supersport zote???? au ndo ugeni wa dstv?? unapata supersport 1,2,5????
Kama hujui kaa kimya 69900 unapata mpaka supersports 3 mechi zote za epl na la liga unacheki live kasoro uefa champions leageu
 
Dstv was enge tu. wametunyonya sana watanzania. Mm bora niweke bando la 50000 niangalie mechi online kuliko kulipia Dstv. South Africa na Nigeria bei ya premium haina tofauti na Azam au star times ila huku bongo Dstv malipo yamekua makubwa mno. Ushauri wangu serikali ingeifukuza Dstv Tanzania then wakaruhusu visimbusi vya bein au aljazeera vitumike official.
Hebu tuwekee hio bei ya Premium SA tulinganishe na Azam.
 
Wimi iliyopita nlikuwa napita sehemu nikawaona vijana wao wanauza hivi ving'amuzi nikasema ngoja na mm nijilipue!

Aisee..nmejionea huruma sana kwa hela yangu niliyoipoteza kuwapa startimes kwa muda wa miaka 2! Hawa dstv hakuna wakumlingamisha nae kwa hapa bongo, yani unaona hela yako inaenda kihalali.

Sasa kila kona nikipita naona vijana wamemwagwa kama njugu wanauza visimbuzi vya dstv, watu wananunua kwa wingi kwelikweli.
Kama DSTV ni wajanja, mbona wanawazuia wengine kuonesha EPL. Wawape waone kama AZAM na STARTIMES watashindwa. Hapo ndipo kutakuwa na fair game.
 
Kama umetumia mwaka wa saba sasa.kuwa mkweli kuhusu supersports ulikuwa uwezi kula zote kwa 69900.. bei ilikuwa ni 192000.imeshuka mwaka jana tu tena baada ya watu wengi kuanza kufunga canal sport.
Mkuu iyo Canal Sport ya Ufaransa unaipataje ukiwa TZ? Na Malipo yake yanakuaje?
 
Back
Top Bottom