Jamaa mwongo sana na ana ujinga mwingi sanaacha uo
acha ujinga na uongo huku kuna watu wenye akili alaaaah.... 69900 unaona supersport zote???? au ndo ugeni wa dstv?? unapata supersport 1,2,5????
Jamaa mwongo sana na ana ujinga mwingi sanaacha uo
acha ujinga na uongo huku kuna watu wenye akili alaaaah.... 69900 unaona supersport zote???? au ndo ugeni wa dstv?? unapata supersport 1,2,5????
Mbona DSTV washaanza matangazo kuwa wataonesha WC mechi zote.....Nasubiri kipindi cha kombe la dunia nione nani ataonesha mashindano haya kati ya azam na dstv,mwaka jana nilikuwa na mpango wa kufunga dstv nyumbani kwangu nikaona bora nisubiri kidogo
Mtanzania wa KAWAIDA, sio masikini sio tajiri hawezi kushindwa(akiamua) kulipa 69,000=2300/siku.Unaongelea watanzania wa daraja gani hadi kuiona Tsh.69900 ndogo?
Kama ni sisi tunaotaka local channels za bure basi nao Dstv wajiandae kisaikolojia.
Mi nimeongelea daraja langu kwan mwanzo ili nipate hizo chanel zote nilikua nalipa 222500 sasa wameshuka kwa Chanel zilezile wanachaji kwa tshs 69900,nna kila sabab za kuwapa big up,afu ishu za Chanel za buree wakiamua utakimbia we maana wanachanel had zingine zinakutu,swali je hata wakiruhusu za bure una king'umuz chao???Unaongelea watanzania wa daraja gani hadi kuiona Tsh.69900 ndogo?
Kama ni sisi tunaotaka local channels za bure basi nao Dstv wajiandae kisaikolojia.
Wee bila shaka vyuma vimekunyoso(umezimishwa)Monthly subscription je ? Huoni ile ya chini kwao ndio ya juu Azam. Kama mlitumwa kawaambieni wakupe mbinu mpya. Shenzi kabisa
Lazima alete blabla hapa maana ulichouliza ndo kinatukimbiza hukoWanauza kiac gani complete na je kifurushi gan naweza kuangalia European football kwa bei nafuu
Supersport 3 hapo hakuna broWanauza kiac gani complete na je kifurushi gan naweza kuangalia European football kwa bei nafuu
Tena kwa 69900 unaona super sport zote na maximo,c tangazo natumia dstv huu mwaka wa saba
Wee nae wakuwaita wakuu huwaoniMkuu Dindira umenitukana mimi au huyu anayetetea Dstv?
Kama ni mimi hujanitendea haki kabisa. Lakini...."thanks for everything"
Lipa sasa utaona ni promotion kwa woteacha uo
acha ujinga na uongo huku kuna watu wenye akili alaaaah.... 69900 unaona supersport zote???? au ndo ugeni wa dstv?? unapata supersport 1,2,5????
Kalimbukia huyo anachoona yy anaita kila kituacha uo
acha ujinga na uongo huku kuna watu wenye akili alaaaah.... 69900 unaona supersport zote???? au ndo ugeni wa dstv?? unapata supersport 1,2,5????
Startimes ndio wamepewa exclusive right kuonesha kombe la dunia.Nasubiri kipindi cha kombe la dunia nione nani ataonesha mashindano haya kati ya azam na dstv,mwaka jana nilikuwa na mpango wa kufunga dstv nyumbani kwangu nikaona bora nisubiri kidogo
Kaka mim nilianza na 222500 per month mwaka 2011Kama umetumia mwaka wa saba sasa.kuwa mkweli kuhusu supersports ulikuwa uwezi kula zote kwa 69900.. bei ilikuwa ni 192000.imeshuka mwaka jana tu tena baada ya watu wengi kuanza kufunga canal sport.
Asante mkuu ila naamin mm na we kipato hakilingani kwa gap LA nassari na mtulia.Kalimbukia huyo anachoona yy anaita kila kitu
Kipofu kaona mwezi
sawa nitawatafutaTena kwa 69900 unaona super sport zote na maximo,c tangazo natumia dstv huu mwaka wa saba
Mimi ni mteja c mfanyakazi wa mult choice, nenda dstv ukapate ufafanuzsawa nitawatafuta
Poa mkuuMbona DSTV washaanza matangazo kuwa wataonesha WC mechi zote.....