Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,207
- 15,892
Pamoja sana kiongozi..nilikuwa najiuliza ninunue ipi kati ya Azam au Continental ila nahisi hiki kitanifaa zaidi.Ndiyo mkuu.. Ila ukiwapata wale wa mtaani promotion ni elfu 69 kila kitu.. Ila ukienda ofisini kwao ni 79 kila kitu