DSTV wameingia mtaani, Startimes na wengine jiandaeni kisaikolojia

DSTV wameingia mtaani, Startimes na wengine jiandaeni kisaikolojia

Nakumbuka kuna mwaka viliuzwa kwa bei ya promotion ya sh. 39000/- , dogo akakipapatikia kikaja kumshinda kwenye bei za vifurushi. Sasa hivi Yuko na azam.
 
Nakumbuka kuna mwaka viliuzwa kwa bei ya promotion ya sh. 39000/- , dogo akakipapatikia kikaja kumshinda kwenye bei za vifurushi. Sasa hivi Yuko na azam.
Bei inategemea na aina ya king'amuzi utakachohitaji aimin kuna aina tofauti za decoder.
 
acha uo


acha ujinga na uongo huku kuna watu wenye akili alaaaah.... 69900 unaona supersport zote???? au ndo ugeni wa dstv?? unapata supersport 1,2,5????
Ndio.
IMG_20180123_201839.jpg
IMG_20180123_201853.jpg
IMG_20180123_201913.jpg
 
Wanauza kiac gani complete na je kifurushi gan naweza kuangalia European football kwa bei nafuu
sijui ilikuwaje ila nililipa 20K nikawa ninapata supersport 3, 4,7,8....sijui what went wrong kwa upande wao
 
Dstv ipo tangu mwaka 1997 hapa nchini Tanzania...
 
Bei inategemea na aina ya king'amuzi utakachohitaji aimin kuna aina tofauti za decoder.
Kwahiyo kuna decoder zenye vifurushi vya bei nafuu kwa Chanel zile zile ambazo decoder zingine ni ghali?
 
Kwahiyo kuna decoder zenye vifurushi vya bei nafuu kwa Chanel zile zile ambazo decoder zingine ni ghali?
Hapa c malipo ya mwezi Bali decoder zao zinatofautiana kiuwezo katk functions tofaut
 
Back
Top Bottom