DSTV wameingia mtaani, Startimes na wengine jiandaeni kisaikolojia

DSTV wameingia mtaani, Startimes na wengine jiandaeni kisaikolojia

SS7 saizi kuna mechi ndio inaanza bayern vs Paderborn
 
Mtanzania wa KAWAIDA, sio masikini sio tajiri hawezi kushindwa(akiamua) kulipa 69,000=2300/siku.
69,000 + LUKU + MAJI + KODI YA NYUMBA + CHAKULA N.K
Unapoizungumzia hiyo pesa 'as a single digit' inaonekana ndogo ila ukijumlisha na matumizi mengine ya lazima kwa mwezi, hiyo pesa bado Mtanzania wa KAWAIDA haiwezi.
 
Kupanga ni kuchagua si lazima kua na king'amuzi cha dstv Kwan zuku za buku nne zipo,usiharibu biashara za watu
 
Dstv wamejiongeza wakitaka ku-win zaidi waweke wadada wenye wezere mithili ya Sanchiweldi
 
Back
Top Bottom