asante sana mkuu nilitaka kununua kumbe na diesitivi nao ni utopolo, ngoja niendelee na kisimbuzi ninachotumia.HIvi kwa bongo kisimbuzi kipi ni bora, hapa na maanisha, ina channel za kueleweka na hata usipolipia local channels unazipata
Kabla ya kuwatupia lawama DSTV, angalia kwanza sheria za nchi zinasemaje. Halafu pia jiulize kama hao unaotaka wawekwe wanakubaliana na masharti ya DSTV.
DSTV walikuwa wameweka channels zote muhimu za taarifa kweye decoder yao hapo awali. Kutokana na sherio mbovumbovu za hili taifa, imebaki TBC pekee. Zingine zilizobaki ni za entertainment tu, akina TVE, Wasafi, Clouds Tv nk. Lakini akina Star Tv, ITV na zingine ziliondolewa kabisaKwa watumiaji wa Dstv tunapata tabu sana kwenye upande wa local news. Inashangaza Dstv kuna channel 7 za local news za kenya KBCTV, NTV, KTN, Citizen TV, KTN News, K24 na kisomali ya Kenya STN TV, hizi zote zinaonesha local news za Kenya ila Tanzania mnatuwekea TBC1 peke yake. Hayo mazagazaga mengine mliyotuzuga nayo sijui Wasafi, Cloudplus, TVe, Safari TV, hayana tofauti na machannel ya YouTube au online streaming ni utopolo.
Tunaomba mtuheshimu subscribers wenu turudishieni local channel zinazoeleweka ITV, Channel 10, Star TV, Clouds TV, EATV, Capital TV.
Tumechoka huu upuuzi tutahamia Azam na Startimes kama kama mtaendelea na hizi hujuma zenu Dstv.
tatizo umeisha jazwa ujinga wa kushadadia vya bure bure, kwenye dunia ya leo hakuna vya bure, hakuna kitu kama hicho sijui 'free to air' fikiria nje ya boxKajifunze kwanza maana ya free to air ndo uje na vpl zako. Unadandia hoja wakati kichwani mtupu kabisa.
DSTV walikuwa wameweka channels zote muhimu za taarifa kweye decoder yao hapo awali. Kutokana na sherio mbovumbovu za hili taifa, imebaki TBC pekee. Zingine zilizobaki ni za entertainment tu, akina TVE, Wasafi, Clouds Tv nk. Lakini akina Star Tv, ITV na zingine ziliondolewa kabisa
Kwa watumiaji wa Dstv tunapata tabu sana kwenye upande wa local news. Inashangaza Dstv kuna channel 7 za local news za kenya KBCTV, NTV, KTN, Citizen TV, KTN News, K24 na kisomali ya Kenya STN TV, hizi zote zinaonesha local news za Kenya ila Tanzania mnatuwekea TBC1 peke yake. Hayo mazagazaga mengine mliyotuzuga nayo sijui Wasafi, Cloudplus, TVe, Safari TV, hayana tofauti na machannel ya YouTube au online streaming ni utopolo.
Tunaomba mtuheshimu subscribers wenu turudishieni local channel zinazoeleweka ITV, Channel 10, Star TV, Clouds TV, EATV, Capital TV.
Tumechoka huu upuuzi tutahamia Azam na Startimes kama kama mtaendelea na hizi hujuma zenu Dstv.
Asante kwa kunielimisha. Lkn pia hizo ni free to air, ukitega dish kubwa kwenye nyuzi 46E unazipata hio local zote FREE kabisa. Hizo sio subscription channels.Izo walizoweka za wasafi na zingine ni channel za streaming na wala siyo free to air kama ITV na Clouds Tv ndiyo mana wanazijazia mle kukamilisha quota ya 5 local channels kwa mujibu wa sheria.
tatizo umeisha jazwa ujinga wa kushadadia vya bure bure, kwenye dunia ya leo hakuna vya bure, hakuna kitu kama hicho sijui 'free to air' fikiria nje ya box
So una maana walivyozitoa ndiyo wamesaidia watu kulipia king'amuz ? Nsaidie hapa, kuzitoa na kuziweka kuna athiri vipi watu kulipia king'amuzi?Kwanini serikali iwazuie dstv pekeyao mbona startimes na azam channel nyingi zipo? Jamaa wanasingizia serikali ila tatizo ni uroho tu wanazani wakiweka iTv na zingine kwakua hazitakiwi kulipiwa basi watu hawatakua wanalipi kingamuzi. Ni uroho tu wa dstv wala usiilaumu serikali ndugu yangu
Yaani huku ni zaidi ya kutuhujumu sisi walipaji wao yaani tunalipia tuone mambo ya nje tuu. Huu ni uhujumu.
Nsaidie hapa, kuzitoa na kuziweka kuna athir vip watu kulipia king'amuziTcra ilitupigania sisi watazamaji kwakuwa tulikua tunalipishwa hadi local channels ambazo ni za free to air mfano ITV. Jamaa baada ya kupigwa fine wakaziondoa badala waziachie ziwe free wakaona wakiziacha sisi hatutalipia vingamuzi. Jamaa ni waroho sana wanawaza pesa hawatujali sisi wateja wao.
Asante kwa kunielimisha. Lkn pia hizo ni free to air, ukitega dish kubwa kwenye nyuzi 46E unazipata hio local zote FREE kabisa. Hizo sio subscription channels.
Aisee ni kweli yaaan Dstv hapaa wamepuyanga mnoooKwanini serikali iwazuie dstv pekeyao mbona startimes na azam channel nyingi zipo? Jamaa wanasingizia serikali ila tatizo ni uroho tu wanazani wakiweka iTv na zingine kwakua hazitakiwi kulipiwa basi watu hawatakua wanalipi kingamuzi. Ni uroho tu wa dstv wala usiilaumu serikali ndugu yangu
Nsaidie hapa, kuzitoa na kuziweka kuna athir vip watu kulipia king'amuzi
Kwa akili yako shida ni DSTV au CCM na vyombo vyake ikiwemo TCRA? DSTv wamepigwa pini, wanataka muangalie TBCCM tu ili wote muimbe mapambio na kusifu 24/7! wengine hata hiyo TBCCM tumeiblock tunaangalia vyombo vya nje tu
Mwaka wa uchaguzi huu fanya maamuzi sahihi...