Unapokuwa na smart TV vifurushi vya dst TV au Azam hiyo fedha ungetaman ununue bando la internet ili ustream kilakitu Kwa Uhuru Zaid katika TV yako, na bado nyumbani mtatumia ilo bando Kwa mambo mengine sasa apo huwez kutegemea tena ivi vifurushi vya kawaida vya internet ya voda au tigo NI ghali Sana kutumia kwe smart TV, kwahiyo itakubidi tu uhamie kwenye vitu kama fiber ambayo internet inasambazwa majumbani Kwa waya ambapo unalipa bili kama umeme, ambapo kidogo unakuwa huru na TV yako,sasa huduma kama hi serikali haiwezi imwachie mtu binafsi

