Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,529
- 61,938
Pamoja na mapungufu ya Dstv, huu wimbo wa “Azam akipata haki ya EPL na UCL” ni mwaka wa ngapi sasa mnaimba na bado hakuna dalili ya kutimia?Dstv ukiachana na EPL na Champions league matches hawana cha kuoffer kwa fans wake imagine CAF Champions league hawataonyesha games zao AZAM akipata tender ya kuonesha EPL na Champions league fixtures kesho yake mapema asubuhi nitaliuza dish Lao kwa watu wengine