computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
- Thread starter
- #61
Wajinga sana hawaMechi za CAF zinazohusu klabu za kwao huwa wanaonyesha.
Wajinga sana hawaMechi za CAF zinazohusu klabu za kwao huwa wanaonyesha.
Trillions zaidi ya 20😮Hela ndogo sana hii kwa Mzee Bakhresa may be kuna sehemu anabaniwa mchongo
Uongo mbaya sijakariri no my dearNamba gan na gani?
Huu mwezi sijalipa.. na silipi
Nikiwasha tv naangalia taka taka zangu za kwenye external
hata local channels uwa sijui namba zao
296 ni ya kulipia?
Azam huku huku ambako ukivuma tu upepo matangazo yanakata??? Duh sijui ila kwa kweli "burudani kwa wote" ni kichomi kwa sasa, yaani ikinyesha mvua tu ujue jiandae kuweka flashDstv ukiachana na EPL na Champions league matches hawana cha kuoffer kwa fans wake imagine CAF Champions league hawataonyesha games zao AZAM akipata tender ya kuonesha EPL na Champions league fixtures kesho yake mapema asubuhi nitaliuza dish Lao kwa watu wengine
Dola milioni 15 ni sawasawa na Trilioni 20? Mahesabu ya wapi haya lohTrillions zaidi ya 20😮
Mkuu naomba ujuzi unafanyaje malipo kwenye smart tv au inabidi iwe na line yake ili itumike kununua bando au unanunua kwa line ya simu yakoNdio
Uongo huooooooooooTrillions zaidi ya 20😮
🤣🤣🤣 Ni billions,typo error mkuuUongo huoooooooooo
Soon TTCL fiber italeta mageuzi,stay tunedKulingana na maisha yanavyoenda Tanzania tubadilike tuhamie kwenye hizi stream service tuachane na hizi mambo ya ma dstv na Azam ila nilikuwa na ombi moja Kwa serikali hii fiber ya ttcl ibinafsishwe ndo huduma itakuwa nzur na Bora
South DSTV ana miaka 3,Mbele.Anaenda kufa mazima😭,Maana Streaming companies wakiwemo Netflix Wanakula nae sahani moja...DTH Satellite bandwidth Ina mwisho,wakati kwenye fiber no limitUhalisia NI kwamba dst TV imepoteza wateja Zaid ya nusu south Afrika. ambapo uko ndo anategemea pesa nyingi na hii imetoka na streaming service na fiber kuwa nafuu kuliko vifurushi
Sema vitu vinavyoendeshwa na serikali haviwezi kuleta mageuzi WA MPE mtu aendeshe serikali watapata faida , mwekezaji atapata faida na wananchi watafurahia huduma.Soon TTCL fiber italeta mageuzi,stay tuned
DStv hela nyingi tunachpata kidogo sana mechi tuDstv ukiachana na EPL na Champions league matches hawana cha kuoffer kwa fans wake imagine CAF Champions league hawataonyesha games zao AZAM akipata tender ya kuonesha EPL na Champions league fixtures kesho yake mapema asubuhi nitaliuza dish Lao kwa watu wengine
Dstv ukiachana na EPL na Champions league matches hawana cha kuoffer kwa fans wake imagine CAF Champions league hawataonyesha games zao AZAM akipata tender ya kuonesha EPL na Champions league fixtures kesho yake mapema asubuhi nitaliuza dish Lao kwa watu wengine
Kwanza hicho chanel za mpira sio most viewed chanels kwenye decoder yao , most watches chanels ni kama Espn, Discovery Chanel, National Geographic na vitu kama hivyo, so sidhani kama wanajali saana sababu hata ligi ya tanzania sijui kwanini hawakuiwekaga kwao wangepata soko sanaTukiacha mpira huwezi kulinganisha channels zilizoko dstv na ushuzi kwenye decoder yoyote
Tupe elimu ya hii kitu kwa undani zaidiKulingana na maisha yanavyoenda Tanzania tubadilike tuhamie kwenye hizi stream service tuachane na hizi mambo ya ma dstv na Azam ila nilikuwa na ombi moja Kwa serikali hii fiber ya ttcl ibinafsishwe ndo huduma itakuwa nzur na Bora
Yaan NI kwamba huduma ili isambaye Kwa haraka inategemea uhitaji na mnavyojiunga wengi na garama ndo zinapungua,Kwa mfano kila mtu inabid ndan awe smart TV ili uweze kustream YouTube na kila kitu ,sasa mtu Yuko kwenye chogo,anaeama kwenye chogo anaenda kwenye Haya maflat ya kawaida,anayeenda kwenye smart hajui hata maana yake ninTupe elimu ya hii kitu kwa undani zaidi