DSTV muda sio mrefu tutawaacha mazima

DSTV muda sio mrefu tutawaacha mazima

Dstv ukiachana na EPL na Champions league matches hawana cha kuoffer kwa fans wake imagine CAF Champions league hawataonyesha games zao AZAM akipata tender ya kuonesha EPL na Champions league fixtures kesho yake mapema asubuhi nitaliuza dish Lao kwa watu wengine


Ajabu sana, na aibu, sijui wanafanya nini Tanzania.
 
DSTv siwaelewi kabisa. Bando likiisha wanaondoa Star tv, ZBC, Safari , Wasafi na EFM.
Sasa Star tv Ina nini?
Upande wa dini wanatupendelea sisi wa KKKT pekee, wa RC na waislamu hawana kitu.
TBC ikibaki ndio tiivii pekee Tanzania. Nitaacha kuangalia tiivii. Hata wangeifunga sidhani Kama Kuna atakayelalamika labda wamrudishe Tido.
 
Back
Top Bottom