Dstv kampuni kubwa lakini ukubwa boflo

Dstv kampuni kubwa lakini ukubwa boflo

Mimi mpaka sasa sijaona decoder bora kwa huko Africa zaidi ya DSTV. na huduma zao nazipenda natumia Explorer nalipia Premium. Sijawahi sumbuliwa hata kwa dk 1. Wananijali wananipa executive service.
Ok...anyways kwa **** mie mambo ya movie tamthilia na mengi ni kama polisi...naenjoy dstv channel za michezo.
Wangewek kifurishi cha michezo tuu ingekuwa poa
 
Sasa hivi wanataka kuwarudisha wateja kwa kuja na kifurushi cha sports tu na kiwe gharama nafuu kuliko ilivyo sasa hasa kwa SA data sio ishu na TV zao nyingi ni smart wanastream na kuunga moja kwa moja kwenye TV vitu vingi wanaangalia ila kwa Nchi ambayo data ukiweka hata kabla haujatumia unapata meseji ya matumizi 75% kufika huko itachukua muda sana...
Mkuu, hata mimi sasa hivi nimeona hela ya kulipia ving'amuzi ni bora nilipie bando ya unlimited Airtel, nistream navyovitaka kwa tv. Naangalia mechi nizitakazo kwa HD, movie latest na tamthilia za kibongo kali kama DUNIA, fresh kabisa bila chenga. DSTV bei zao kali sana na vitu ni vya kitoto, Azam nao ukitoa ligi ya bongo inabaki hamna kitu
 
Back
Top Bottom