muvangulumemile
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 697
- 983
Daa we jamaa,Kwa hiyo ukitumia DStv ndio una pesa?bado una safari ndefu SanaHuna pesa dogo. DSTV tunatumia zaidi ya miaka 20 sasa wala hawana longo longo. Katumie AzAm DSTV tunatumia wenye pesa. Na inashangaza wana gharama za chini sana kuliko huduma nzuri wanayotupa.