DStv iko poa sana nunueni msiogope

DStv iko poa sana nunueni msiogope

Huyo ni star times na inategemeana na ubora wa kitu huwezi amini mkuu azam ana king'amuzi 25,000 kwa mwezi kazidi hadi DStv 19,000 kwa mwezi
Mkuu Azam kifurushi cha nchini ni Sh. 10,000/=, kinachofuata ni 18,000 then 23,000 na mwisho kabisa ni 28,000

Ila hao Mabepari wako cha chini kabisa ni 19,000 unaenda mpaka unaikuta 140k

DSTV bado si rafiki kwa nchi zetu hizi. Hiyo 10,000 Azam kuna Channels zaidi ya 30 na mechi za bongo unaona
 
Ukishazoea uswahili ni ngumu sana kutoka huko..leo tunalinganisha DSTV na Azam???
Mkuu nadhani sio uswahili bali upenzi pia. Kuna watu ni wanazi wa soka la bongo huwezi waambia chochote kuhusu Azam ila wale wa EPL mtauana kwa dstv yao. Hapo unakuta ni upenzi. Hivi sasa nimebaini kitu kingine kina mama ukiacha Sinema zetu kuna tamthilia fulani zinaoneshwa saa tatu usiku zimefsiriwa aisee ukibadili chanel unaweza tukanwa vibaya mno. Kumbuka Azam inauzwa 150,000 ila ndio madishi mengi mtaani watu wananunua mno maana yake kuna kitu wanapenda. Kimsingi dstv ni wakongwe na wako vizuri, Azam nachowakubali kwa sasa ndio kituo pekee kinachoonesha taarifa ya habari kwa ufanisi mkubwa sana, nimeacha kuona ITV kitambo baada ya kupata vitu tofauti kutoka Azam ikiwa ni matukio ya live ya ndani utaona picha nzuri. Kimsingi wanakuja vizuri.

Ila ukichukua ule ujimla DSTV wako vizuri, ila tukiangalia kwa issue za ndani ya nchi Azam anatubeba
 
Nikweli kabisa mkuu
 
Hivyo kifurushi cha laki 2 kasoro bado kipo?. Maana naona unazungumzia elfu kumi na Tisa.....
 
Wakuu hicho kimzigo cha 19,000 unapata channel ngapi? Ukiacha hizo za Supersports ni zipi nyingine? Kama vipi niuze Azam!
 
Back
Top Bottom