mujunwa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 425
- 557
Jamaa ana inferiority . Bora umemwambia . Anawaza kizamani sana . Amethibitisha ulimbukeni wakeMkuu huo ushamba kuwaza unavyowaza karne hii hahaha vitu vyakawaida nowadays TV za chogo hakuna tenaa unataka watu waoneshe nini sasa wanapotoa ufafanuzi unaohusisha TV?? Chogo hakuna bado unauswahili wakupepeta mchele nje afu unasema jilani Leo anatuonesha Leo anapika wali wakati hata kwa mama muuza umejaa kibao, zama zimeenda ndugu amkaaa usilala na majungu ya zamani ukaamka nayo miaka hii ya digital mkuu.