DStv iko poa sana nunueni msiogope

DStv iko poa sana nunueni msiogope

Hello ndugu zangu habarini za jumamosi, Jana nimefanikiwa kuvuta dstv kiukweli channel ni nyingi ktk kifurushi cha bomba na offer yao ya miezi miwili inaitwa THE PUNGUZO buree, kwa 79,000/= na ufundi 20,000/= tu ukiwapa 100,000/= sio mbaya now nainjoi sana ni full HD kwa t-shs 19,000/= kwa mwezi.
ce6e861932e68f691c8e71916b84ac10.jpg
df1589c3490577f3ce6dd226b222b771.jpg
99ecbe849b90b59529a6a3e85e49dce2.jpg
a5c6b003b351b8ecca482de55d72cccc.jpg
dd95f8d2e9db92308d6a180385d393df.jpg
18d26cd28e2e395d4c08256b08825aac.jpg
Subiri waanze kukuchaji kadiri dollar inavyopanda ndo utaelewa!
 
Hakuna mpinzani wa Dstv. Nilihangaikaga sana kutafuta king'amuzi chenye ubora. Nilitumia startimes, nikatumia continental, sijui azam sijui ting, mara zuku

Kipindi hicho nilikua naogopa Dstv kwakua nilikua najua lazima ulipie premium.. Tangu nilipofahamu wanavifurushi kulingana na uwezo wako, sijawahi kujuta na siwezi kuhama
 
Kweli mkuu unajua wengi wanapenda azam sababu ya Vodacom Premiere League ndo mana
 
King'amuzi cha Startimes nilinunua 36,000 (sijui sasa hivi ni bei gani) na ninalipia 6,000 kupata Local Channels kwa lengo la kupata habari.
Sasa jaribu kulinganisha na hicho king'amuzi unachokinadi uone tofauti.

Mwenye kisu kikali ndio mla nyama.
Endelea kuenjoy mkuu..
Huoni kuwa unaibiwa?na mwizi wako anashirikiana na waziri wa habari?au hujasikia serikali kupitia waziri wake ilisema LOCAL CHANNEL ni bure,wewe unalipa 6000unajisifia!!!!,haya mambo ni TZ ONLY.
 
Walichonifurahisha hawa jamaa sasa hivi kwenye kifurishi cha Bomba unapata MTV, BET, Mnet Action, Mnet All star nyingine nyingiii za burudani.
 
Back
Top Bottom