T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 10,650
- 34,936
Hiyo kukopesha watu wanafanya hapa chuo. Sasa nashangaa yeye kilichomfanya aache chuo ni nini. Kisa kukopesha tu?Ungeweza kusoma na hii biashara ya kukopesha ukaendelea nayo,au ulikula DISCO?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu alidisco mkuu lipo wazi hiloUngeweza kusoma na hii biashara ya kukopesha ukaendelea nayo,au ulikula DISCO?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile shule ya informatics ni jiwe kweli kweli.atakuwa amefananisha watu mm nmesoma pale pale informatics
Hivi daktari wa shahada ya kwanza anayeanza kazi analipwa sh ngapi kwa mwezi?Kama haujasoma utateseka sana kimwili kama wewe ambavyo unatembea jua kali na daftar la unao wadai..
Ilitakiwa utengeneze hoja nzuri zenye mashiko ili watu waone umuhimu wa kuacha chuo.
#wote tunajua PESA ni muhimu zaidi ya VYETI ila kama unakitu cha kufanya tena chenye uhakika.
Sasa wewe na daktar unataka useme mtakuwa sawa!
Sent using Jamii Forums mobile app
MaBillionaire walioandaliwa maisha.Wenzako ni Mabilionea kama kina Oprah,Kanye,Mark Zuckberg,Bill gates,Stivie Job etc
Wewe degree inakupa confidence.
Sasa naelewa kwanin ulisoma.Deal done.
Kwa uelewa wako kam MD ulifaulu basi kuna kiti kikubwa tu ulikalia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Drop out na mtaani unakopa wanachuo yaani Nikajua utawaiga wakina Wizkid waliodrop nakustick kwenye mziki,na wengineo na wasiwasi ulidisko bro au?wasalamu... wale tulioacha chuo kwa hiari baada ya kugundua tunatakiwa kuunda system zetu za kutoka kimaisha na sio kufata mfumo usio na masirahi kwa speed hii ya maisha tujuane hapa .
binafs nmedropout Udom mwakajana mwez wa 12 ....
View attachment 1236058
Sijaelewa iyo Bottom line ujinga kivipi, maana navyojua ndio maisha tunayoyataka wengi.Kibongo bongo dropout wengi ndio hawa wauza mitumba,boda boda waburn cd,wapiga windo.
Kama unabisha angalia siku za weekenď ambapo wasomi wengi hawaendi kazini,hata magari huwa machache barabarani
Ujinga ni nini?
Ujinga ni mtu anajisifu amedrop shule,ili atafute pesa za kumfanya mwanae asome shule kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umepata nafasi ya kusoma soma umalize kama ada ipo mtaani paskie tu kuna usemi unasema "elimu mtaani"Hata mie soon na drop, kusoma ni torture aisee
Nilichogundua ww ni mshikaj fulan hivi baada ya kupata vihela vya urithi unaleta dharau ,watu wa aina yako hawawez fika mbali .sasa nakushaur pia watoto wako usiwapeleke shule.maana huelew hata hao dropouts matajir wanasomesha watoto wao mpaka vyuo kwann wasiwaaache tu.Nisome kwa ajili gani? Yaani nifanye kitu ambacho nmegundua hakina tija ili wewe uridhike??
Karibu mkopo sasa riba imepungua hadi 20%/month>> pia unaweza kopa adi million 10 kama una vigezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umepata nafasi ya kusoma soma umalize kama ada ipo mtaani paskie tu kuna usemi unasema "elimu mtaani"
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule muhimu sana ila degree ni muhimu tu kama huna alternative zingine...keep Babylon system alive. Ukibadili mawazo welcome to 1% club tukupe mawazo huru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Its like unaamini kabisa ukidrop out unakua umekata tiket ya kupata pesaUna sense pole na kusoma sana, hao uliowataja wapo kwa ajili yetu sisi ndo tunawapa kazi hizo.( So mwenye kusoma asome mwenye kuacha aache) by the way why nyie watu mliofanikiwa kumaliza shule tu, mnakuwa na kinyongo flan na ambao hawajamaliza na wana hela?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema wew tu ndo akili yko iliishia hapo, na ni bora uliacha kabisa.Mm naona watu hawaelewi maisha yakoje..kuna wengine wanataka elimu kama kigezo cha heshima, eti inampa confidence...uzwazwa kabisa.. Kama umesoma kweli tumia elimu yako kupata pesa uwe na maisha. Mimi niliamua kuachana na elimu ya mfumo kwakuwa niliona haifundishi kutafta pesa inafundsha namna ya kujua sehemu za panzi, je nikishajua inanisaidia nini, nmeenda chuo unashangaa kuna kozi tunaambiwa tukariri Marehemu flan alisemaje kuhus ukuaj wa mtoto, inasaidia nini,?? Nisome upuuzi ili niwe na confidence? Alaf nilie njaa??
BIG NONSENSE...
nmependa ulivyomweleza kijana hajielew bado.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anaejiita dropout (mtoa maada), kwa anadai anakopesha hadi milioni 10 ( kama unavigezo )wasalamu... wale tulioacha chuo kwa hiari baada ya kugundua tunatakiwa kuunda system zetu za kutoka kimaisha na sio kufata mfumo usio na masirahi kwa speed hii ya maisha tujuane hapa .
binafs nmedropout Udom mwakajana mwez wa 12 ....
View attachment 1236058
Watu hawana hasira na dropouts, wana hasira na wewe(mtoa mada) ambaye umedrop ila kichwa kiko tupu hujui nini unafanya..unatakiwa urudi shule kwa hali ninayoiona kwako ili uondoe ujinga na upumbavu ndo uje mtaani kuendelea na maisha.Mnashida gani na watu walio drop out, kwanini mna hasira sana? Hizo hasira mngeelekeza kutunza mishahara yenu( kwa waliopata ajira na nyie ambao mna vyeti vya confidence lakin amjapata ajira) na kuanzisha side hustle (biashara, au mradi endelevu) mngemake sense. Ila kuja kutoa povu hapa kisa mmejiloga huko kwenye Babylon System haisaidiii ...
Binafsi hela ninayopata kwenye mishe zangu pia hailali nakopesha na nawekeza. Jambo ambalo nyie wenye vyeti hamufanyi nahamna wazo hilo, mnachojua ni kuibia muda wa kazini hamfanyi kazi mnakuja kutoa povu huku..
Badilikeni..
Sent using Jamii Forums mobile app