Dressing Table ya mwanaume

Dressing Table ya mwanaume

Hata niwe na hela vipi sijawahi kuwaza kununua dressing table na sina mpango. Au nimelogwa? Bora ninywe wine nina mafuta chupa moja+ kapoda ka 5000 ndo niviweke juu ya laki 5??
 
Inaweza kuwa ni location ya movie hiyo.
Hahaha inawezekana kabisa. Japo kuwa na fake dollars kwa bongo ni kosa kisheria, lakini kwa wenzetu kama USA wanatumia PROP MONEY - dollars. Hizi ni noti za dollars ambazo zinatengenezwa kwa ajili ya movie industry na kazi ikiisha lazima ziwe destroyed.

Ile movie ya Rush Hour 2, walitengeneza hizo prop dollars na baadaye baadhi ya hizo dollars zikaingia kwenye mzunguko wa fedha kama fake money.

Nadhani hata Amazon wanauza hizo prop money.
 
You are right sir, nyingine wanatengeneza za pastic kwa akili ya kufundishia watoto hasa early years, coins ni za plastic lakini wanapaka silver. Hizi ninakuwa ni note ya $ 1,5 na 10 tu
 
Social media zinaweza Kupoteza watu.Ndani ya nchi zinakotumika hizo pesa,sheria haikuruhusu kuwa na cash nyingi nyumbani.Ni huku porini ndio tunakuwa nayo.Huko ni mwendo wa credit cards tu!!!
unamjua Floyd M? yeye anatembea nazo hadi kwenye ndege na yuko hukohuko unako kusema
 
Ila kusema ukweli hakuna kitu kinamnyima mwanaume confidence kama kuwa broke...tuchape tu kazi halali mafanikio yatakuja
 
Hiyo sio dressing table ni showing off table pesa weka bank kiasi ktk wallet sasa zikae dresaing table ili nn.
Hizo ni sifa za kijinga.
 
najua umekuja mbio ukifhani utakutana na chupa za manukato ya gharama

mafuta na losheni mbalimbali. Ukweli ni kuwa losheni, manukato na mafuta yanayo mng'arisha mwanaume ni pesa... pambana upate pesa
hata mimi napambana nipate pesa kama za huyo jamaa ambazo ni petty cash huku account ikiwa imetuna.
View attachment 753058 View attachment 753060 View attachment 753061
Unaishi sehemu gani nikutembelee nikupige mabapa ya upanga huku ni kutuletea ushawishi tujifunze wizi kwanini lakini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom