Dressing Table ya mwanaume

Dressing Table ya mwanaume

911sep11

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
2,469
Reaction score
4,312
najua umekuja mbio ukifhani utakutana na chupa za manukato ya gharama

mafuta na losheni mbalimbali. Ukweli ni kuwa losheni, manukato na mafuta yanayo mng'arisha mwanaume ni pesa... pambana upate pesa
hata mimi napambana nipate pesa kama za huyo jamaa ambazo ni petty cash huku account ikiwa imetuna.
tzdon1.png
tzdon4.png
tzdon4.png
 
Hela kitu gani bhana!! Kikubwa afya na kipato cha hela ya kujenga na kula baaaasi, mengine hayo mtakufa mkiwania U-don na msiupate.

Tamaa ya fedha haijawahi kumwacha mswahili salama!! Utakamatwa China ukiwa na ngada na kunyongwa bure!!
broh kwani pesa zinapatikana kwenye ngada tu? huoni watumishi wa mungu wananunua ma jet huko?
 
broh kwani pesa zinapatikana kwenye ngada tu? huoni watumishi wa mungu wananunua ma jet huko?
Hao wengi wao ndo wauza ngada, pia hawana ugumu wowote maana pesa zao ni za kuchangiwa na maelfu ya waumini ndani na nje ya nchi!!

Mantiki yangu namaanisha tutafute pesa kwa utaratibu sahihi, sio kutapeli au kufanya njia haramu kisa pesa!!
 
ndio maana nimesema hapo juu tupambane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom