Wewe kweli umewakilisha walio wengi hata kama havuti sigala utaona simu, wallet angalau mtu asije akaloa suruali akaondoka nayowengine za kwetu utakuta lighters, viberiti na pakiti a sigara tu.
Wewe ni Ke au Me?Yeah.. Mwanaume mipango, mashine kakamulie alizeti upate mafuta.