Dressing Table ya mwanaume

Dressing Table ya mwanaume

Hizo saa balaa ukikuta mwanaume kapiga shati lake la maana limemkaa Bomba kapiga hiyo Saa dah.
 
Wanaume maskin huwaga wanapenda kutoa povu jamanii!!khaa ndo mmeshauriwa mtafute pesa na mwenzenu nanyi mzitandaze kwenye dressing table[emoji4].Acheni kulia lia hata kama ni pesa za ngada!
 
Hela kitu gani bhana!! Kikubwa afya na kipato cha hela ya kujenga na kula baaaasi, mengine hayo mtakufa mkiwania U-don na msiupate.

Tamaa ya fedha haijawahi kumwacha mswahili salama!! Utakamatwa China ukiwa na ngada na kunyongwa bure!!
KWANI WOTE WANAOPATA HELA WANAUZA SEMBE??? kuna mishe tofauti ZA mjini
 
Social media zinaweza Kupoteza watu.Ndani ya nchi zinakotumika hizo pesa,sheria haikuruhusu kuwa na cash nyingi nyumbani.Ni huku porini ndio tunakuwa nayo.Huko ni mwendo wa credit cards tu!!!
 
Wanaume maskin huwaga wanapenda kutoa povu jamanii!!khaa ndo mmeshauriwa mtafute pesa na mwenzenu nanyi mzitandaze kwenye dressing table[emoji4].Acheni kulia lia hata kama ni pesa za ngada!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
$80,000 ndani za nini? Wenye kiasi hicho ndani lazima kuna kitu hakiko sawa. Dunia ya sasa huna sababu ya kubeba large sums of cash labda muuza unga. Unatembea na cheque book tu na ile plastic inayoingia ukutani inatoa pesa.
 
inafanana na za kina el chapo, Mayweather, lord of the sky...
si mchezo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom