Dress Code Za Wanaume Nisizopenda

Karucee, naomba nikuletee ile kitu ya Arusha :majani7:bila shaka umeimiss..
:focus: still loading...
 
Last edited by a moderator:
Akili za wanawake zipo wenye nguo. Ndio maana mnagongwa na magari hovyo kwa kuwaza ulichovaa zaidi ya unakokwenda.

Na ukiona mwanaume anaangalia saaaaana mavazi, hizo ni dalili za .....tito zinamnyemelea
 
Last edited by a moderator:
sasa wewe mbona hutaki kila kitu, kweli uko kwenye muddy ya kudiss wanaume.
 
Usikhofu kabsa hao ni sehemu ya wanaofanya opposite sex kuwa so interesting....lol
hao huwaelezi kitu wanaishi in the world of their own. Kitu cha "don't touch me untanichafua"......nawapendaje, wanajiamini bana

ndio hawahawa wanavaaga sharpshooters za abunuwas. Halafu wana swaga flani ya kuongea ili waonekane dignified
 
hahahahahaha
umenifanya nicheke

 
Karucee you have made my night hahahahaa
 
Last edited by a moderator:


No 9 Umetuonea kwa kweli lol
 

yap, umesema vema cynic, kama punjab anazovaaga balotelli haimaanishi hana pesa ya kununua nguo nyingine, kuna wengine kuvaa vituko wanapenda au wanafanya makusudi kuvuta macho ya watu kwao, kama kwenye music awards usa wengi huvaa tofauti kuvuta macho kwao kama lady gaga anavyovaaga.
 

mbona hueleweki hapo kwenye namba 1 na 13
 
hahahah, ukitupa mawe gizani anaepiga kelele limempata. Afu wewe unavaaga suruali za kushonesha, zenye celebrations afu dont-touch-my-shoes eeh?

Umekumbuka vi boyfriend vyako vya Galanos? lol
 



Na hawa macelebrity wa kibongo unawaonaje na uvaaji huu kwani hawa kwa sasa ndiyo kioo cha jamii yetu ya kibongo.
 
Nilitegeme mleta mada uanze kuchukia dress code ya wanawake ambayo kwa sasa inaelekea kwenye nakedness!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…