Dreamliner ATCL yatumwa Sudan

Dreamliner ATCL yatumwa Sudan

Hivi hizi dege zilinunuliwa kufanya biashara au showoff kuwa na tz tuna bombadia na dreamlina? Sion biashara inayofanya hapa. Wanajeshi wana mandege yao. Pia UN huwasafirisha.
 
Hivi hizi dege zilinunuliwa kufanya biashara au showoff kuwa na tz tuna bombadia na dreamlina? Sion biashara inayofanya hapa. Wanajeshi wana mandege yao. Pia UN huwasafirisha.
"Ongea poulepoule mkuu usije kuonekana una wivu au weye ni li-CHADEMA unatumika na mabhebheru"!Hivi haujui kwamba ukiongea au kujieleza kwa akili zako halisi za kujitegemea unachukiwa mkuu?😂😂😂😂🔫
 
Kwa hiyo "sisi" jeshi la sungusungu haturuhusiwi hata kupunga mikono tu.Acheni ubaguzi.Wanajeshi ni kupendana
Nyie sungu sungu sio jeshi ni mkusanyiko Wa walinzi mtaa
 
Ndege yetu ikatokea inatunguliwa,lawama kwa nani?! Kwa nini wasipelekwe na ndege za UN ambazo zinatambulika na kisheria haziruhusiwi kushambuliwa?!

Tumekosa safari za kimataifa zenye tija hadi tuvizie mara kupeleka mbuzi Dubai na sasa wanajeshi Sudan?! Je safari hizo ni endelevu kwa wiki ama mwezi mara ngapi?!
Duuh!
Mkuu unaombea mabaya tu. Huko Darfur hakuna vita ya namna hiyo.

Janjaweed hawatungui ndege.

Pia hiyo ndege ina bima inapofanya safari kama hizo. Sio mara ya kwanza kwa UN kukodi ndege kusafirisha walinda amani.
 
Duuh!
Mkuu unaombea mabaya tu. Huko Darfur hakuna vita ya namna hiyo.
Janjaweed hawatungui ndege.
Pia hiyo ndege ina bima inapofanya safari kama hizo. Sio mara ya kwanza kwa UN kukodi ndege kusafirisha walinda amani.
"Hawatungui ndege"!Kweli?Safari za India zilikufa?
 
May 16, 2019
Ndege ya ATCL aina ya Dreamliner yaenda Sudan kupeleka wanajeshi ktk jimbo la Darfur kulinda amani.

Akizungumzia ushiriki wa Tanzania ktk kulinda amani chini ya Umoja wa Mataifa, mkuu wa operesheni ktk JWTZ Major General Alfred Fabian Kapinga amesema huu ni mwaka wa 12 toka Tanzania ihusike ktk kampeni za ulinzi wa amani chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa.

Tanzania ina vikosi chini ya Umoja wa Mataifa kulinda amani ktk nchi za Lebanon, Central African Republic, Sudan na DR Congo. Na kati kupeleka vikosi imekuwa ikitumia ndege za JWTZ na zingine zilizokidishwa na Umoja wa Mataifa. Hii ni mara ya kwanza ATCL kutumika na kutakuwepo mwendelezo wa ATCL kutumika ktk misheni za ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa ATCL amesema wamefarijika shirika kupata tenda ya Umoja wa Mataifa kusafirisha walinzi wa amani. Amelishukuru jeshi na wadau wengine waliofanikisha kupata kazi hii inayoshindaniwa na mashirika mengi ya ndege ktk kufanya kazi za Umoja wa Mataifa.

Brilliant idea 🙃🙃🙃
 
Back
Top Bottom