
Miili yao ni silaha toshaMbona hawana silaha au kulinda amani kunahitaji marungu tu
Imerudi na wajeda wengine 211..Vilevile Mhandisi Matindi aliongeza kuwa Ndege ya Dream Liner ina uwezo wa kusafiri kwa saa 12 bila kusimama, hivyo kwa kutumia saa tatu kusafiri kutoka hapa mpaka nchini Sudan ni sehemu ndogo ya Uwezo wake na ni nafasi ya kuwajaribisha watendaji wa Ndege wa ATCL katika kuhudumia safari Ndefu.
Hiyo para nmeelewa, maana ila kwa gharama Ni upumbavu kutumia ndege yetu maaana inaenda kurudi tupu,(wakati UN watakuwa wamelipia kwenda TU)........
Ilikwenda Harare trip moja kilichotokea mzee alisikia akaanguka..lengo halijafikiwaKwani China na India hatuendi tena