much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,587
Hayo ni makundi yanayofadhiliwa na USA ili kuzitisa sehemu zenye rasilimali AfricaAkili za kobazi hizo sasa ukiua raia ndio una achieve nini?

Wafadhili wa hao magaidi ni USASio rahisi kusikia waumini wa imani zingine wakiingia msikitini na kuua watu kinyama namna hiyo.
Kama huu unaoitwa dini ingekuwa ni dini kwelikweli badala ya utamaduni tu wa kiarabu wasingekuwa wanayafanya haya wanayoyafanya leo.
Hamzs Hezbollah houth wanafadhiliwa na naniWafadhili wa hao magaidi ni USA
na IDF wanafadhiliwa na nani?Hamzs Hezbollah houth wanafadhiliwa na nani
Jibu swali sio unaniuliza swalina IDF wanafadhiliwa na nani?
Na wewe jibu swali na mimi nakujibuJibu swali sio unaniuliza swali
Umeonesha dhahiri Kichwani kwako kumejaa mavi sikujibu tenaNa wewe jibu swali na mimi nakujibu
M23 Sasa wamegeuka kuwa Islamic state?persecution of Christians is real …
Zaidi ya watu 40 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi tanzu la Dola la Kiislamu (Islamic State) kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo.
Wengi wa waliouawa walikuwa waumini waliokuwa wakishiriki ibada ya mkesha wa usiku katika kanisa lililoko mjini Komanda walipovamiwa na wapiganaji wa Allied Democratic Forces (ADF). Taarifa ya ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa (Monusco) ilisema kuwa watoto tisa walikuwa miongoni mwa waliouawa.
Maduka na biashara za jirani pia ziliibwa na kuchomwa moto.
ADF ilianzishwa nchini Uganda miaka ya 1990, ikidai kuwa serikali ya nchi hiyo ilikuwa inawabagua Waislamu, lakini kwa sasa kundi hilo linafanya shughuli zake upande wa pili wa mpaka nchini DRC, ambako limekuwa likiwalenga raia wa dini zote pamoja na kufanya mashambulio nchini Uganda.
Tangu wakati huo, ADF imekuwa sehemu ya tawi la Dola la Kiislamu katika Ukanda wa Afrika ya Kati, ambalo pia linajumuisha kundi lingine nchini Msumbiji.
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na BBC Monitoring, karibu asilimia 90 ya operesheni za Dola la Kiislamu kwa sasa zinafanywa na matawi yake yaliyo Afrika.
Shambulio hilo lilikatili maisha ya watu wasiopungua 43, wakiwemo wanawake 19, wanaume 15 na watoto tisa, kwa mujibu wa Monusco.
"Matendo haya ya mashambulizi ya kulenga raia wasio na ulinzi, hasa katika maeneo ya ibada, siyo tu ya kusikitisha bali pia ni ukiukwaji wa viwango vyote vya haki za binadamu na sheria ya kimataifa ya kibinadamu," alisema naibu mkuu wa Monusco, Vivian van de Perre.
Jeshi la DRC limesema "takriban watu 40 walishambuliwa kwa ghafla na kuuawa kwa mapanga, na wengine kadhaa walijeruhiwa vibaya".
Lilisema kuwa "magaidi hawa wameamua kulipiza kisasi dhidi ya wananchi wasio na hatia ili kueneza hofu".
Luteni Jules Ngongo, msemaji wa jeshi la Congo katika jimbo la Ituri ambako shambulio hilo lilitokea, alisema shambulio hilo lililenga kupotosha umakini wa operesheni ya pamoja ya kijeshi inayofanywa na jeshi la Uganda dhidi ya kundi hilo la waasi.
Alisema jeshi litaendelea kulifuatilia kundi la ADF "hadi kwenye ngome yao ya mwisho" na kuwataka wananchi "kuwa waangalifu zaidi na kutoa taarifa kuhusu uwepo wowote wa watu wanaotia shaka kwa vyombo vya ulinzi na usalama".
Mnamo mwaka 2021, DRC iliwaalika wanajeshi wa Uganda kuingia nchini humo kusaidia katika kupambana na ADF. Hata hivyo, mashambulio bado yanaendelea.
Komanda iko katika jimbo la Ituri lenye utajiri wa madini, ambalo limekuwa likigombaniwa na makundi mbalimbali ya waasi kwa miaka mingi.
Wiki iliyopita, Monusco ililaani "kuzuka kwa wimbi jipya la ghasia" mwezi huu, ikitaja mashambulio ya awali ya ADF ya tarehe 8 na 9 Julai ambayo yaliripotiwa kusababisha vifo vya watu 47.
View attachment 3421468
![]()
ADF in DR Congo: IS-linked rebels accused of killing Christian worshippers in Komanda
Most of the dead were worshippers taking part in a night vigil which was stormed by armed men, officials said.www.bbc.com
Kanisa likiteketezwa kwa moto huko Kongo …
Acha kuwawaza wazung kweny useng wenu , badala ya ukemee huo ushetan , wew una uhalalisha kwa kuwapa lawama wazunguWrite your reply...wazungu wanaanzisha jambo jingine la uchonganishi mradi tu DRC isitulie kwa migogoro mibaya
Anaeua ni mzungu au mwafrika ? Je unaunga mkono hayo mauji? Kwan hao wanaoua wenzao hawana akil mpk lawana tuwape wazungu ?M23 Sasa wamegeuka kuwa Islamic state?
Hakuna namna Ili Wazungu waendelee kuiba madini lazima waidanganye misukule Yao ya kikristo
Hoja ni mfadhiri au hoja ni uhalali wa wao kuua waafrika wenzao kisa dini ya mwarabHawa magaidi wanafadhili na nani
Anaeshika bunduki hajui kama anakosea kuua waafrika wenzie? Hata USA asingesaidia kwavilr akil zenu zishacorrupt bas mngetumia njia nyingine kuua waafrika wenzenuHayo ni makundi yanayofadhiliwa na USA ili kuzitisa sehemu zenye rasilimali Africa
Tauti na mavi na ubongo wako ni harufu tena ubongo wako unakuliko maviUmeonesha dhahiri Kichwani kwako kumejaa mavi sikujibu tena
Si pesa mkuu hata wewe ukiambia unalipwa dollars elfu 40 kwa wiki kazi yako kuua tu unaweza usiiache hiyo kaziAnaeshika bunduki hajui kama anakosea kuua waafrika wenzie? Hata USA asingesaidia kwavilr akil zenu zishacorrupt bas mngetumia njia nyingine kuua waafrika wenzenu
Wakrist hawaeleweki, Josephy Kibweetere aliwachoma moto Kondoo wake kule Uganda wote wakafa, wakrist walivo wanafiki hakuna aliyelani kile kitendo na badala yake walimsifu mchungaji Kibweetere kwa kuwapeleka Kondoo Mbinguni mapema kukutana na bikira maria mwana wa Mungu (Yesu).persecution of Christians is real …
Zaidi ya watu 40 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi tanzu la Dola la Kiislamu (Islamic State) kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo.
Wengi wa waliouawa walikuwa waumini waliokuwa wakishiriki ibada ya mkesha wa usiku katika kanisa lililoko mjini Komanda walipovamiwa na wapiganaji wa Allied Democratic Forces (ADF). Taarifa ya ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa (Monusco) ilisema kuwa watoto tisa walikuwa miongoni mwa waliouawa.
Maduka na biashara za jirani pia ziliibwa na kuchomwa moto.
ADF ilianzishwa nchini Uganda miaka ya 1990, ikidai kuwa serikali ya nchi hiyo ilikuwa inawabagua Waislamu, lakini kwa sasa kundi hilo linafanya shughuli zake upande wa pili wa mpaka nchini DRC, ambako limekuwa likiwalenga raia wa dini zote pamoja na kufanya mashambulio nchini Uganda.
Tangu wakati huo, ADF imekuwa sehemu ya tawi la Dola la Kiislamu katika Ukanda wa Afrika ya Kati, ambalo pia linajumuisha kundi lingine nchini Msumbiji.
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na BBC Monitoring, karibu asilimia 90 ya operesheni za Dola la Kiislamu kwa sasa zinafanywa na matawi yake yaliyo Afrika.
Shambulio hilo lilikatili maisha ya watu wasiopungua 43, wakiwemo wanawake 19, wanaume 15 na watoto tisa, kwa mujibu wa Monusco.
"Matendo haya ya mashambulizi ya kulenga raia wasio na ulinzi, hasa katika maeneo ya ibada, siyo tu ya kusikitisha bali pia ni ukiukwaji wa viwango vyote vya haki za binadamu na sheria ya kimataifa ya kibinadamu," alisema naibu mkuu wa Monusco, Vivian van de Perre.
Jeshi la DRC limesema "takriban watu 40 walishambuliwa kwa ghafla na kuuawa kwa mapanga, na wengine kadhaa walijeruhiwa vibaya".
Lilisema kuwa "magaidi hawa wameamua kulipiza kisasi dhidi ya wananchi wasio na hatia ili kueneza hofu".
Luteni Jules Ngongo, msemaji wa jeshi la Congo katika jimbo la Ituri ambako shambulio hilo lilitokea, alisema shambulio hilo lililenga kupotosha umakini wa operesheni ya pamoja ya kijeshi inayofanywa na jeshi la Uganda dhidi ya kundi hilo la waasi.
Alisema jeshi litaendelea kulifuatilia kundi la ADF "hadi kwenye ngome yao ya mwisho" na kuwataka wananchi "kuwa waangalifu zaidi na kutoa taarifa kuhusu uwepo wowote wa watu wanaotia shaka kwa vyombo vya ulinzi na usalama".
Mnamo mwaka 2021, DRC iliwaalika wanajeshi wa Uganda kuingia nchini humo kusaidia katika kupambana na ADF. Hata hivyo, mashambulio bado yanaendelea.
Komanda iko katika jimbo la Ituri lenye utajiri wa madini, ambalo limekuwa likigombaniwa na makundi mbalimbali ya waasi kwa miaka mingi.
Wiki iliyopita, Monusco ililaani "kuzuka kwa wimbi jipya la ghasia" mwezi huu, ikitaja mashambulio ya awali ya ADF ya tarehe 8 na 9 Julai ambayo yaliripotiwa kusababisha vifo vya watu 47.
View attachment 3421468
![]()
ADF in DR Congo: IS-linked rebels accused of killing Christian worshippers in Komanda
Most of the dead were worshippers taking part in a night vigil which was stormed by armed men, officials said.www.bbc.com
Kanisa likiteketezwa kwa moto huko Kongo …
Halafu wahanga wakuu wa ugaidi tena wawe ni haohao wamarekani huo ni uongo kabisa kwani haiwezekani wafadhili wawe Marekani (makafiri) halafu magaidi wawe waislamu, hilo haliwezekani kabisa.Wafadhili wa hao magaidi ni USA
Marekani ndo mfadhili wa vikosi vya ugaidi uarabuni huku ufaransa ikifadhili west Africa ndo maana ISIS hajawahi shambulia Israel wala kambi za jeshi USA na marekani hajawahi kuwa mhanga mkuu wa ugaidiHalafu wahanga wakuu wa ugaidi tena wawe ni haohao wamarekani huo ni uongo kabisa kwani haiwezekani wafadhili wawe Marekani (makafiri) halafu magaidi wawe waislamu, hilo haliwezekani kabisa.
Ugaidi ni mpango wa muda mrefu uliyofeli wa waislam kujaribu kuisilimisha dunia. That's all.
Trump mbona alishasema waafrika na warabu ni wajinga ukiwapa siraha wanauana wenyewe Kwa wenyeweAnaeua ni mzungu au mwafrika ? Je unaunga mkono hayo mauji? Kwan hao wanaoua wenzao hawana akil mpk lawana tuwape wazungu ?
Mzungu akikupa silaha ww ukaitumia kuua ndugu zako , je tumlaum mzungu au wew uliyeua ?