DRC: Wakristu zaidi ya 40 wauawa na ADF

DRC: Wakristu zaidi ya 40 wauawa na ADF

Hizi nyakati zilitabiriwa, Wakristo watachinjwa sana na wafuasi wa mpinga Kristo, ifahamike shetani huu ndio muda wake wa kufanya yote haya......Mkristo atakayevumilia hadi mwisho ndiye ataokoka.
Magaidi wa kiislamu, ADF walivamia kanisa na kuchinja Wakristo 43 humo na kuteka wengine....

Mathayo 24:9 “Kisha mtasalitiwa, mtateswa na kuuawa na mtachukiwa na watu wa mataifa yote kwa ajili ya jina langu.
====================================

The deadly attack in Ituri province, eastern Democratic Republic of Congo, by Ugandan Islamist group Allied Democratic Forces (ADF), in which at least 43 people were killed and dozens others abducted on Sunday, had been predicted.
The Congolese army (FARDC) said that the militia attacked a church in Komanda, a town in Irumu Territory, Ituri Province, and killed 19 women, 15 men and nine children.
Hawa magaidi wanafadhili na nani
 
We endelea na chuki zako .
Hakuna muislam anayeweza kuingia kanisani na kuua watu
Mwenye chuki ni nani? Aliyeingia kanisani kuua wakristo au aliyepost hapa kuleta taarifa?!?! Umeshindwa hata kulaani ukatili uliofanywa shehe!!??!!
 
Sio rahisi kusikia waumini wa imani zingine wakiingia msikitini na kuua watu kinyama namna hiyo.

Kama huu unaoitwa dini ingekuwa ni dini kwelikweli badala ya utamaduni tu wa kiarabu wasingekuwa wanayafanya haya wanayoyafanya leo.
 
Hawa magaidi wanafadhili na nani
Ishu ya msingi hapa ni mauaji ya kidini,watu wamepoteza maisha kwa sababu tu ni wakristo. Umeshindwa hata kulaani hili tukio kisa imani yako!!!

Kama kuna mtu au taasisi ina wafadhili hilo ni jambo lingine,inakuwaje watu wa hii dini ni rahisi kuua wengine ambao sio dini yao? Wanaua kwa sababu tu sio waislamu.

Kuna wakristo wauaji ila hawaui kwa jina la Yesu,wenzetu utasikia Allah wakbar kisha mtu anajilipua,anachinja au kupiga risasi wasio wa imani yake.
 
Sidhan kama hiyo dini inafundsha watu wake waue jamaa wa dini nyingne
 
persecution of Christians is real …

Zaidi ya watu 40 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi tanzu la Dola la Kiislamu (Islamic State) kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo.

Wengi wa waliouawa walikuwa waumini waliokuwa wakishiriki ibada ya mkesha wa usiku katika kanisa lililoko mjini Komanda walipovamiwa na wapiganaji wa Allied Democratic Forces (ADF). Taarifa ya ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa (Monusco) ilisema kuwa watoto tisa walikuwa miongoni mwa waliouawa.

Maduka na biashara za jirani pia ziliibwa na kuchomwa moto.

ADF ilianzishwa nchini Uganda miaka ya 1990, ikidai kuwa serikali ya nchi hiyo ilikuwa inawabagua Waislamu, lakini kwa sasa kundi hilo linafanya shughuli zake upande wa pili wa mpaka nchini DRC, ambako limekuwa likiwalenga raia wa dini zote pamoja na kufanya mashambulio nchini Uganda.

Tangu wakati huo, ADF imekuwa sehemu ya tawi la Dola la Kiislamu katika Ukanda wa Afrika ya Kati, ambalo pia linajumuisha kundi lingine nchini Msumbiji.

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na BBC Monitoring, karibu asilimia 90 ya operesheni za Dola la Kiislamu kwa sasa zinafanywa na matawi yake yaliyo Afrika.

Shambulio hilo lilikatili maisha ya watu wasiopungua 43, wakiwemo wanawake 19, wanaume 15 na watoto tisa, kwa mujibu wa Monusco.

"Matendo haya ya mashambulizi ya kulenga raia wasio na ulinzi, hasa katika maeneo ya ibada, siyo tu ya kusikitisha bali pia ni ukiukwaji wa viwango vyote vya haki za binadamu na sheria ya kimataifa ya kibinadamu," alisema naibu mkuu wa Monusco, Vivian van de Perre.

Jeshi la DRC limesema "takriban watu 40 walishambuliwa kwa ghafla na kuuawa kwa mapanga, na wengine kadhaa walijeruhiwa vibaya".

Lilisema kuwa "magaidi hawa wameamua kulipiza kisasi dhidi ya wananchi wasio na hatia ili kueneza hofu".

Luteni Jules Ngongo, msemaji wa jeshi la Congo katika jimbo la Ituri ambako shambulio hilo lilitokea, alisema shambulio hilo lililenga kupotosha umakini wa operesheni ya pamoja ya kijeshi inayofanywa na jeshi la Uganda dhidi ya kundi hilo la waasi.

Alisema jeshi litaendelea kulifuatilia kundi la ADF "hadi kwenye ngome yao ya mwisho" na kuwataka wananchi "kuwa waangalifu zaidi na kutoa taarifa kuhusu uwepo wowote wa watu wanaotia shaka kwa vyombo vya ulinzi na usalama".

Mnamo mwaka 2021, DRC iliwaalika wanajeshi wa Uganda kuingia nchini humo kusaidia katika kupambana na ADF. Hata hivyo, mashambulio bado yanaendelea.

Komanda iko katika jimbo la Ituri lenye utajiri wa madini, ambalo limekuwa likigombaniwa na makundi mbalimbali ya waasi kwa miaka mingi.

Wiki iliyopita, Monusco ililaani "kuzuka kwa wimbi jipya la ghasia" mwezi huu, ikitaja mashambulio ya awali ya ADF ya tarehe 8 na 9 Julai ambayo yaliripotiwa kusababisha vifo vya watu 47.
View attachment 3421468

Kanisa likiteketezwa kwa moto huko Kongo …
Ukobazi,sio kabisa
 
Kama ni kweli Mudi aliwaelekeza waumini wake kuuwa wasioamini katika Iman aliyoileta basi alaaniwe huko alipo.
 
Mwenye chuki ni nani? Aliyeingia kanisani kuua wakristo au aliyepost hapa kuleta taarifa?!?! Umeshindwa hata kulaani ukatili uliofanywa shehe!!??!!
uislam haufundishi kuuwa wasiokuwa waislam.
HAYO ni maamuzi yao binafsi.
 
persecution of Christians is real …

Zaidi ya watu 40 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi tanzu la Dola la Kiislamu (Islamic State) kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo.

Wengi wa waliouawa walikuwa waumini waliokuwa wakishiriki ibada ya mkesha wa usiku katika kanisa lililoko mjini Komanda walipovamiwa na wapiganaji wa Allied Democratic Forces (ADF). Taarifa ya ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa (Monusco) ilisema kuwa watoto tisa walikuwa miongoni mwa waliouawa.

Maduka na biashara za jirani pia ziliibwa na kuchomwa moto.

ADF ilianzishwa nchini Uganda miaka ya 1990, ikidai kuwa serikali ya nchi hiyo ilikuwa inawabagua Waislamu, lakini kwa sasa kundi hilo linafanya shughuli zake upande wa pili wa mpaka nchini DRC, ambako limekuwa likiwalenga raia wa dini zote pamoja na kufanya mashambulio nchini Uganda.

Tangu wakati huo, ADF imekuwa sehemu ya tawi la Dola la Kiislamu katika Ukanda wa Afrika ya Kati, ambalo pia linajumuisha kundi lingine nchini Msumbiji.

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na BBC Monitoring, karibu asilimia 90 ya operesheni za Dola la Kiislamu kwa sasa zinafanywa na matawi yake yaliyo Afrika.

Shambulio hilo lilikatili maisha ya watu wasiopungua 43, wakiwemo wanawake 19, wanaume 15 na watoto tisa, kwa mujibu wa Monusco.

"Matendo haya ya mashambulizi ya kulenga raia wasio na ulinzi, hasa katika maeneo ya ibada, siyo tu ya kusikitisha bali pia ni ukiukwaji wa viwango vyote vya haki za binadamu na sheria ya kimataifa ya kibinadamu," alisema naibu mkuu wa Monusco, Vivian van de Perre.

Jeshi la DRC limesema "takriban watu 40 walishambuliwa kwa ghafla na kuuawa kwa mapanga, na wengine kadhaa walijeruhiwa vibaya".

Lilisema kuwa "magaidi hawa wameamua kulipiza kisasi dhidi ya wananchi wasio na hatia ili kueneza hofu".

Luteni Jules Ngongo, msemaji wa jeshi la Congo katika jimbo la Ituri ambako shambulio hilo lilitokea, alisema shambulio hilo lililenga kupotosha umakini wa operesheni ya pamoja ya kijeshi inayofanywa na jeshi la Uganda dhidi ya kundi hilo la waasi.

Alisema jeshi litaendelea kulifuatilia kundi la ADF "hadi kwenye ngome yao ya mwisho" na kuwataka wananchi "kuwa waangalifu zaidi na kutoa taarifa kuhusu uwepo wowote wa watu wanaotia shaka kwa vyombo vya ulinzi na usalama".

Mnamo mwaka 2021, DRC iliwaalika wanajeshi wa Uganda kuingia nchini humo kusaidia katika kupambana na ADF. Hata hivyo, mashambulio bado yanaendelea.

Komanda iko katika jimbo la Ituri lenye utajiri wa madini, ambalo limekuwa likigombaniwa na makundi mbalimbali ya waasi kwa miaka mingi.

Wiki iliyopita, Monusco ililaani "kuzuka kwa wimbi jipya la ghasia" mwezi huu, ikitaja mashambulio ya awali ya ADF ya tarehe 8 na 9 Julai ambayo yaliripotiwa kusababisha vifo vya watu 47.
View attachment 3421468

Kanisa likiteketezwa kwa moto huko Kongo …
Hawo watu waitieni NETANYAHU KIBOKO WA JIHADI
 
Back
Top Bottom