cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 86,554
- 138,799
Sipati picha moshi siku Mlima Kilimanjaro ucharuke na wenyewe.
Sipati picha moshi siku Mlima Kilimanjaro ucharuke na wenyewe.
Kili ni volcano mfu mkuu.
Ni wewe umepiga hiyo picha?Wakazi wengi wa mji wa Goma nchini Congo wanakimbilia nchini Rwanda katika mji wa Gisenyi kujiokoa na mlipuko wa volcano inayolipuka muda huu katika mlima Nyiragongo.
Chanzo ni mimi mwenyewe nipo hapa Gisenyi.View attachment 1794379
Ukisikia Goma tu......elewa ni eneo tengefu la Mungu kuwanyoosha waja wake.Yaani Goma wana misuko suko jamani!
LOooo, wewe ni mtu makini kweli kweli.Mwaka 2002 volcano ililipuka hapo na kuleta madhara makubwa katika mji wa Goma..
Takriban watu 100 walifariki, majeruhi walikuwa 470 watu karibia 30k walikosa makazi na makazi 14k yaliharibiwa kabisa..
Sema waafrika si watu wa kufanya precautions ndo maana hata kimbunga cha Jobo watu walikuwa wanaleta masihara, hivyo inawezekana watu walionywa hapo ila wakapuuza.
Hivi hili ni mkosi au baraka ?Wakazi wengi wa mji wa Goma nchini Congo wanakimbilia nchini Rwanda katika mji wa Gisenyi kujiokoa na mlipuko wa volcano inayolipuka muda huu katika mlima Nyiragongo.
Chanzo ni mimi mwenyewe nipo hapa Gisenyi.View attachment 1794379
Volcano lazima ianze na moto ikipoa hua majivuMajanga ya kimaumbile. Hii ni tofauti na ile iliyotokea iceland, maana hii naona moto, ile ya iceland majivu.
Wape pole huko.
Sasa Kama wenyeji wanakimbia ili kuokoa maisha yaombona wewe hukimbii umesimana hapohapo,Wakazi wengi wa mji wa Goma nchini Congo wanakimbilia nchini Rwanda katika mji wa Gisenyi kujiokoa na mlipuko wa volcano inayolipuka muda huu katika mlima Nyiragongo.
Chanzo ni mimi mwenyewe nipo hapa Gisenyi.View attachment 1794379
Du!! Kuzimu inapumua!!! Niwakumbushe kumwamini Yesu, Nyumbani kwetu ni mbinguni. Ukitaka kufikambinguni mwaminj Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako!! Ukitaka jehamamu ikuhusu wewe jifanye kana kwamba Mungu hakuhusu halafu ukifa unapokelewa kuzimu kama rumande kabla ya kutupwa jehamamu katika hukumu ya mwisho. Lakini Yesu anakupenda anataka akuokoe. Tubu dhambi zako na mkaribishe Yesu moyoni mwako awe Bwana na mwokozi wako sasa
Dah tusiombee maana ikipasuka vibaya tunaweza upoteza mlima kabsaSipati picha moshi siku Mlima Kilimanjaro ucharuke na wenyewe.
Wakazi wengi wa mji wa Goma nchini Congo wanakimbilia nchini Rwanda katika mji wa Gisenyi kujiokoa na mlipuko wa volcano inayolipuka muda huu katika mlima Nyiragongo.
Chanzo ni mimi mwenyewe nipo hapa Gisenyi.View attachment 1794379
Ndio maana mnang'ang'ania CCMGoma kwa bibi,Mungu awaondolee majanga kwakweli.