Drake- God's plan

Drake- God's plan

Ni uzushi tu uliokuwepo lakini wawl hawa hawana beef,,, na ilithibtishwa kuwa hawana beef baada ya Thr Weekend kushot video yake ya Reminder ambayo Drake aliuza sura,,, moja ya vdeo ambayo imejaa mastaa kbao akiwemo Asapy Rocky, YG, Montana,Drake,Mike Will Made It, Bryson Tiller, Travis Scot,,, so vdeo hyo baada ya kutoka ikaondoa uvumi uliokuepo kuwa wanabeef
Gotcha
 
Drake ni illuminat puppet?
Yap,,toka amerelease album yake View 6,,Tayal akajtambulisha rasmi,, maana namba 6 ni namba moja wapo ya hao illuminat,, pia bado anatumia logo ya bundi kwenye nguo zake,, ni ishara tosha kujua kuwa Drake ni illuminat
 
Je huu wimbo wake mpya ambao kwenye video yake anafanya charitable works. Nitakuwa sahihi nkisema n blasphemy kwa jina alilouita?
 
Umesikiliza album yake ya DAMN mkuu
Ndio Chief Kendrick ni lyrical gymnast

Kwenye Album yake ya DAMN nyimbo kama DNA ,Feel ,Elements nk Ukizisikilza lazima utampa sifa zake huyu jamaa

Siyo Drake sijui na mistari yake ana magari ambayo hajawahi yatembelea sijui nini nini
 
Je huu wimbo wake mpya ambao kwenye video yake anafanya charitable works. Nitakuwa sahihi nkisema n blasphemy kwa jina alilouita?
Sikweli mkuu,, huu wmbo umekuwa controversal sana kuna wengne wanaenda mbali zaidi na wanaona km Drake anawazalilisha watu waskini vle kugawa hela na bado pia kuwachukua kwenye vdeo yake angeweza fanya vle bla ata kutoa shoting,,lkn jina la ngoma lenyew lnahtaj vdeo ya namna ile na vle kutoa hela just ameamua tu na wala sio blasphemy,,,

Hii sio mpya kwa Drake,, mwaka juzi kwenye bday ya kwanza 21 savage ambaye wanashare mwezi mmoja,, alimpa zawadi ya ferrari as a gift,,,
 
Sna tatizo na kutoa mali na pesa. Shda ipo kwenye jina wimbo.

Halafu post malone nao n illumint?
 
Ndio Chief Kendrick ni lyrical gymnast

Kwenye Album yake ya DAMN nyimbo kama DNA ,Feel ,Elements nk Ukizisikilza lazima utampa sifa zake huyu jamaa

Siyo Drake sijui na mistari yake ana magari ambayo hajawahi yatembelea sijui nini nini
Kendrick ni lyrical tena sana tu,, kwa watu wanaofanya HipHop kwa muda huu,, Kendrick anaweza kuongoza akfuata JCole wako real sana,,, lkn album hii ya DAMN kabadirika kdogo,,, sikiliza ngoma km LOVE ameimba ,,,hii inaonesha kumbe kile anachofanya Drake knasound na kinauza zaidi that y Lamar kwenye album yake kajarbu,,,na hii LOVE kaifanya poa zaidi
 
Scheming up ushawah kuisikiliza?
Ndio sasa huko kaimba nini si ndio hayo ya magari sijui na nini

Kuna sehemu anasema I like convertible Bentley's and houses deep the in hills ..
Na nyingine sijui

I used to drive the Acura to school
Now I don't touch the wheel unless it's new

Chief mna kazi sana wafuasi wa Drake
 
Kendrick ni lyrical tena sana tu,, kwa watu wanaofanya HipHop kwa muda huu,, Kendrick anaweza kuongoza akfuata JCole wako real sana,,, lkn album hii ya DAMN kabadirika kdogo,,, sikiliza ngoma km LOVE ameimba ,,,hii inaonesha kumbe kile anachofanya Drake knasound na kinauza zaidi that y Lamar kwenye album yake kajarbu,,,na hii LOVE kaifanya poa zaidi
All the stars umeisikia?
 
Sna tatizo na kutoa mali na pesa. Shda ipo kwenye jina wimbo.

Halafu post malone nao n illumint?
Yap,,Rapper wengi ni illuminant,,, post malone rock star imejionesha,,,

Naweza sema Lupe Fiasco anaweza kuwa sio illuminant tokana na misimamo yake ya dini japo sina uhakika sana
 
Ndio sasa huko kaimba nini si ndio hayo ya magari sijui na nini

Kuna sehemu anasema I like convertible Bentley's and houses deep the in hills ..
Na nyingine sijui

I used to drive the Acura to school
Now I don't touch the wheel unless it's new

Mna kazi sana wafuasi wa Drake
Si kila mtu anaelezea hali yake.

K lamar yeye ana yake na drizzy nae ana yake. Mmoja katokea kwenye race yenye matatizo ya kila aina wakat mwingine katokea kwenye race inayosemekana kuwa race bora duniani. So lazima uandshi wao utofautiane.
 
Back
Top Bottom