Drake- God's plan

Drake- God's plan

Ndio sasa huko kaimba nini si ndio hayo ya magari sijui na nini

Kuna sehemu anasema I like convertible Bentley's and houses deep the in hills ..
Na nyingine sijui

I used to drive the Acura to school
Now I don't touch the wheel unless it's new

Chief mna kazi sana wafuasi wa Drake
Ukiwazungumzia Kendrick na Drake kwa sasa ni sawa na kuwazungumzia Nas na Jay Z respectively,,, kuna mmoja yuko Real na mwingine commecial
 
Yap

Unaionaje ili ngoma.

Halafu kijana nae n illuminat?
Ndio mkuu,, ngoma kali hasa video,,,isikilize album yote yaani Black Panther,,, aisee kuna ngoma nzuri sana humo kuna ngoma kafanya na wasouth Afrika inaitwa Seasons hao jamaa wakisouth wanaitwa Sijava,Mozzy na Reason
 
Si kila mtu anaelezea hali yake.

K lamar yeye ana yake na drizzy nae ana yake. Mmoja katokea kwenye race yenye matatizo ya kila aina wakat mwingine katokea kwenye race inayosemekana kuwa race bora duniani. So lazima uandshi wao utofautiane.
Sawa Chief ,Mtu nishazoea kuwasikiliza kina Tupac ,Nas nk Kendrick ama Jcole ndio nitakuwa makini kuwasikiliza kina Drake labda nikiwa viwanja huko ndio nisikilize nyimbo zake

Anyway kila mtu ana machaguo yake
 
Na yeye yupo kwenye chama la wana the illuminat?
 
Sawa Chief ,Mtu nishazoea kuwasikiliza kina Tupac ,Nas nk Kendrick ama Jcole ndio nitakuwa makini kuwasikiliza kina Drake labda nikiwa viwanja huko ndio nisikilize nyimbo zake

Anyway kila mtu ana machaguo yake
So far kila mmoja yupo vizur kivyake
 
Si kila mtu anaelezea hali yake.

K lamar yeye ana yake na drizzy nae ana yake. Mmoja katokea kwenye race yenye matatizo ya kila aina wakat mwingine katokea kwenye race inayosemekana kuwa race bora duniani. So lazima uandshi wao utofautiane.
Achana na POROJO...
HUWEZI kumfananisha Kendrick na na mbana pua kama Drake..!
 
Back
Top Bottom