Drake- God's plan

Drake- God's plan

Kweli kabisa Kiongozi.

Kumbe na Wewe ulikuwa na Maradhi na hiki Kipindi kama mimi🙂.

Kusema ukweli hiki kilikuwa ni moja ya Kipindi cha Luninga ninachokikubali sana.

Nimefurahi sana, kukutana na Mpenzi mwenzangu wa Kipindi chetu pendwa.

Ngoja nikukumbushe kidogo.

Hapo ndio Wahusika wakuu wamesharudi vacation, wanasubiri kukabidhiwa FUNGUO zao za Mjengo.

WADAU wanaanza,

"Move that BUS"

"Move that BUS"

"Move that BUS"

TY anaingilia kati na kuanza kusema,

BUS DRIVER!

MOOOOOVE THAT BUUUS.

BUS likashasogezwa hiyo CRIB utakayoiona hapo huwezi amini kama ndio ilikuwa MBAVU zako za MBWA.

Kipindi kilikuwa kitamu sana Kiongozi
Nilianzishaga thread ya hichi kipindi but sikupata wadau wakutosha
 
Nilianzishaga thread ya hichi kipindi but sikupata wadau wakutosha
Sikubahatika kuuona huo UZI.

Mimi ningekuwa ni mmoja wa Wadau wa UZI huo.

Kiongozi,

Kama hutojali unaweza kuuweka huo UZI hapa ili nipate kuupitia/kusafisha macho, lengo ni kutaka kujua maudhui ya UZI.

Nafahamu namna ya kuupata huo UZI kwenye Profile yako tatizo naona uvivu kufukunyua.

Kiongozi kama utapata Muda, tupia hapa
 
Hii
Sikubahatika kuuona huo UZI.

Mimi ningekuwa ni mmoja wa Wadau wa UZI huo.

Kiongozi,

Kama hutojali unaweza kuuweka huo UZI hapa ili nipate kuupitia/kusafisha macho, lengo ni kutaka kujua maudhui ya UZI.

Nafahamu namna ya kuupata huo UZI kwenye Profile yako tatizo naona uvivu kufukunyua.

Kiongozi kama utapata Muda, tupia hapa
Uzi huu hapa kiongozi
Kipindi cha Extreme Make over home edition
 
Niliitazama hii video nikahisi machozi yananilenga
kweli aisee,,, mi mwenyew mara ya kwanza Naitzama hii vdeo nltoa chozi,,,
Good work,,, hii ngoma pia imekuwa mainstream sana toka imetoka imevunja record kwenye apple's music
 
Hapa ilikuwa baada ya wiki moja kutoka ikavunja recods
4bdf3568f38eeb1038674f595071fcd4.jpg
 
Hiv dreezy ana beef na the weeknd?
Ni uzushi tu uliokuwepo lakini wawl hawa hawana beef,,, na ilithibtishwa kuwa hawana beef baada ya Thr Weekend kushot video yake ya Reminder ambayo Drake aliuza sura,,, moja ya vdeo ambayo imejaa mastaa kbao akiwemo Asapy Rocky, YG, Montana,Drake,Mike Will Made It, Bryson Tiller, Travis Scot,,, so vdeo hyo baada ya kutoka ikaondoa uvumi uliokuepo kuwa wanabeef
 
Back
Top Bottom