Drake- God's plan

Hii inanikumbusha Kipindi cha Luninga cha kuitwa EXTREME MAKEOVER (Home edition).

Nilikuwa mfuatiliaji mzuri sana wa hiki Kipindi.

Kusema ukweli Kipindi hiki ilikuwa kila nikikiangalia nilikuwa napata HUZUNI sana, na SIMANZI
Kipindi kilikua safi sana, namkumbuka bonge flan alikua hana miguu anatumia wheel chair wakamtengenezea nyumba yake ya kiteknolojia hapo hapo wakamletea pete ya uchumba kwa ajili ya mchumba wake na wakafunga ndoa ilikua safi sana
 
Me naona Drake na King Kunta ni sawa na Shakur na Biggie!!...Hatuwezi waweka sehemu moja ingawa wanafanya kitu aina moja (hip hop).
Hawa jamaa wanajua hadi kero!
 
Me naona Drake na King Kunta ni sawa na Shakur na Biggie!!...Hatuwezi waweka sehemu moja ingawa wanafanya kitu aina moja (hip hop).
Hawa jamaa wanajua hadi kero!
Kendrick na Drake hawa madogo wote wako overrated
Kendrick has never been overrated he challenge and shape hip hop culture as it is ...he is modern day Tupac shakur thats why his respect is beyond measure...On the other hand drake has been overated due to his jewish origin and also copy catting kanye west flow......
 
Hawa watu mi huwa nawackiliza wote maana wote ni wakali
Black Panthers
God's plan
Zote ni nymbo kali
black panther ni album gods plan ni single kwenye scary hours album....tatizo ndo hapo wabongo tunapotea sana kwe hype hapo kila mtu ataongelea huo mwimbo mmoja wa drake..am sure baada ya miezi mi3 kila mtu atajua single zilizopo ndani ya black panther koz whole album ni clasic
 
DRAKE BILBOARD HISTORY AMEINGIZA NUMBER 1 MARA 4 NYIMBO ..TOP TEN KAINGIZA NYIMBO 22 WAKATI IN TOTAL AMETOA NYIMBO 160
upload_2018-2-19_9-50-28.png

KENDICK LAMAR BILLBOARD HISTORY AMETOA NYIMBO 43 TU ILA NUMBER 1 KAINGIZA 2 NA TOP TEN KAINGIZA SITA
upload_2018-2-19_9-51-9.png
 
DRAKE BILBOARD HISTORY AMEINGIZA NUMBER 1 MARA 4 NYIMBO ..TOP TEN KAINGIZA NYIMBO 22 WAKATI IN TOTAL AMETOA NYIMBO 160
View attachment 697873

KENDICK LAMAR BILLBOARD HISTORY AMETOA NYIMBO 43 TU ILA NUMBER 1 KAINGIZA 2 NA TOP TEN KAINGIZA SITAView attachment 697874
Ubora Wa Drake unajidhihirisha hata kimaslahi mana ana mkwanja zaidi ya mara tatu ya Kendrick,, yaani mziki mzuri, biashara na endowsment za maana
 
Kipindi kilikua safi sana, namkumbuka bonge flan alikua hana miguu anatumia wheel chair wakamtengenezea nyumba yake ya kiteknolojia hapo hapo wakamletea pete ya uchumba kwa ajili ya mchumba wake na wakafunga ndoa ilikua safi sana
Kweli kabisa Kiongozi.

Kumbe na Wewe ulikuwa na Maradhi na hiki Kipindi kama mimi:).

Kusema ukweli hiki kilikuwa ni moja ya Kipindi cha Luninga ninachokikubali sana.

Nimefurahi sana, kukutana na Mpenzi mwenzangu wa Kipindi chetu pendwa.

Ngoja nikukumbushe kidogo.

Hapo ndio Wahusika wakuu wamesharudi vacation, wanasubiri kukabidhiwa FUNGUO zao za Mjengo.

WADAU wanaanza,

"Move that BUS"

"Move that BUS"

"Move that BUS"

TY anaingilia kati na kuanza kusema,

BUS DRIVER!

MOOOOOVE THAT BUUUS.

BUS likashasogezwa hiyo CRIB utakayoiona hapo huwezi amini kama ndio ilikuwa MBAVU zako za MBWA.

Kipindi kilikuwa kitamu sana Kiongozi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom