Dr.zero V/S Baba V???!!!

Server ni sehemu ambayo kunaweza kuka hifadhiwa vitu kama file and other documents then watu wakawa wana pata hivyo vitu kupitia hiyo server husika waliyo hifadhi izo vitu.
anko server ni kitu gani?
 
Server ni sehemu ambayo kunaweza kuka hifadhiwa vitu kama file and other documents then watu wakawa wana pata hivyo vitu kupitia hiyo server husika waliyo hifadhi izo vitu.
asante anko tayari nime note
 
Kukisia au kutamka kuhusu MEMBER kuwa huyu ndiye yule ni kosa hapa JF. Hilo kosa linajulikana kama "ID speculations". Kwa hiyo member kama mimi hatujui nani ni nani isipokuwa moderators. Kwa hiyo futa kauli yako Jacaranda ndio kwetu. cc Dr.zero.
 
Last edited by a moderator:
mhhhh.... White party inafanya kazi kweli, watu wanakuja kwa ID mpya ili wasitambulike hahahaaaaaa....
 
Kukisia au kutamka kuhusu MEMBER kuwa huyu ndiye yule ni kosa hapa JF. Hilo kosa linajulikana kama "ID speculations". Kwa hiyo member kama mimi hatujui nani ni nani isipokuwa moderators. Kwa hiyo futa kauli yako Jacaranda ndio kwetu. cc Dr.zero.

Onesha wapi NIMEKISIA au NIMETAMKA nani ni nani hapa Jf mkuu Arushaone!!
 
Last edited by a moderator:
naogopa kuwasemea ila kama vile wameshangia mamaa, baba tofauti au cjui ni ndugu wa ukoo mmoja af baba yake naninihhh si ndo akazaa na mama yake na nanihiihh ambaye alimpa mimba akiwa darasa saba hivi kama sikosei,sasa mahusiano yao yakawa kama nanihhh yaaani ahhhhhh ila tu naogopa kusutwa japo suna.
 

Utasutwa shosti,shaurilo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…