Dr. Wilbrod Slaa kesho kuanza rasmi vikao vya chama

Dr. Wilbrod Slaa kesho kuanza rasmi vikao vya chama

Status
Not open for further replies.
Dr Kasema anaomba utulivu, kama kunataarifa yoyote yeye mwenyewe ndiye atakayeitoa, iwe hapa jukwaani au kuitisha Press na wanadhani wa habari. Kakataa kumlisha maneno kinywani mwake, Hivi mnashindwaje kuwa na subira??

BACK TANGANYIKA

Mkuu, naomba uelewe utofauti kati ya taarifa na taarifa. Dr. Slaa hawezi kuja humu na kuandika kwamba atahudhuria kikao cha kamati kuu! Hiyo ni habari imetolewa na siyo kwamba Dr. Slaa amelishwa neno na/au maneno! Pia ni lazima ujiongeze kusoma between the lines! (Jiongeze kuhusu ile taarifa ya jana kutoka kwa ID ya Dr. W. Slaa)
 
Last edited by a moderator:
Tumaini Makene na Molemo na Mungi kila mtu na lwake
 
Kama ni hivyooo....thats 100% good news to us kama chadema na ukawa. Na nitumies fursa hii kuomba tumuache yy na familia yke wapumzike na tuache kuwaharras. Kama tunampenda bas na tumuheshimu.....#weneedyoudrSlaa #
Mkuu, Dr. Slaa ni kiongozi mahiri wa Chadema. Hatutathubutu kamwe kufanya mzaha eti tukampoteza! Tumehakikisha kuwa anarejea katika hali yake kama awali na niwahakikishieni kuwa Dr. Slaa ameongeza ari na nguvu kuhakikisha CCM inang'oka
 
habari za kizushi hizo muaçheni mzee apumzike na mama musjumbusi mmemshambjliasanakwenye mitandao ya kijamii
 
Dah i wish hii hapabari iwe ya kweli. Nachukia ukweli kwamba Dr. Slaa ameshika funguo ya ukombozi na ana nafasi ya kuchelewesha ukombozi huo kwa angalau miaka kumi hadi ishirini hivi ijayo. Katika kipindi kama hichi kura za Zitto na wazalendo wenzake zinahitajika pia. Swala ni kuitoa ccm basi mengine baadae as long as ccm haipo. The end justifies the means kwa akina sisi tunaoabudu katika management by objective. Natamani habari hii iwe na ukweli.
 
Sala za wanamaombi zimefanya kazi, come on comred. We know that the fiancé needs you, but the nation needs you the most.
 
aisee hebu kwanza .....




attachment.php
Hahaaah imebidi niangue kicheko mpaka watu hapa wananishangaa.
Hizi katuni za sasa zina ujumbe mzuri sometime unakera lakini zimejaa usheshi wa hali ya juu.
 
Hahaaah imebidi niangue kicheko mpaka watu hapa wananishangaa.
Hizi katuni za sasa zina ujumbe mzuri sometime unakera lakini zimejaa usheshi wa hali ya juu.

Namimi nimejikuta nacheka, huyu mchoraji katuni bwana!
 
Hatimaye katibu mkuu wa Chadema Dr. Willbrod Slaa kesho ataanza rasmi kuhudhuria vikao vya chama ambapo atahudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema.

Kuonekana kwa Dr. Slaa kesho kutamaliza rasmi mjadala wa muda mrefu na propaganda zilizotawala eti Dr. Slaa kajitoa Chadema.

Katika hatua nyingine, upigwaji wa kura za maoni katika jimbo la Kibamba kwa watia nia wa Chadema utafanyika kesho baada ya mtia nia John Mnyika kupata nafua kutokana na kusumbuliwa na homa kwa muda.

Habari na G Sam
Hii ni moja ya id ninazoziamini sana hapa jukkwani. Ni moja ya id ambazo hazijawahi kutuangusha. Tunashukuru kwa taarifa mkuu G Sam
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom