Dr. Wilbrod Slaa kesho kuanza rasmi vikao vya chama

Dr. Wilbrod Slaa kesho kuanza rasmi vikao vya chama

Status
Not open for further replies.
safi sana Dr.W.Slaa icon of change ktk nchi yetu Tanzania.

Big up na hongera sana kwa taarifa mujarabu G Sam
 
Last edited by a moderator:
Hatimaye katibu mkuu wa Chadema Dr. Willbrod Slaa kesho ataanza rasmi kuhudhuria vikao vya chama ambapo atahudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema.

Kuonekana kwa Dr. Slaa kesho kutamaliza rasmi mjadala wa muda mrefu na propaganda zilizotawala eti Dr. Slaa kajitoa Chadema.

Katika hatua nyingine, upigwaji wa kura za maoni katika jimbo la Kibamba kwa watia nia wa Chadema utafanyika kesho baada ya mtia nia John Mnyika kupata nafua kutokana na kusumbuliwa na homa kwa muda.

Habari na G Sam

G sam hajawahi kuleta habari za kizushi humu kama Manyerere..... Naamini hii itakuwa issue ya kweli...
 
Last edited by a moderator:
Hatimaye katibu mkuu wa Chadema Dr. Willbrod Slaa kesho ataanza rasmi kuhudhuria vikao vya chama ambapo atahudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema.

Kuonekana kwa Dr. Slaa kesho kutamaliza rasmi mjadala wa muda mrefu na propaganda zilizotawala eti Dr. Slaa kajitoa Chadema.

Katika hatua nyingine, upigwaji wa kura za maoni katika jimbo la Kibamba kwa watia nia wa Chadema utafanyika kesho baada ya mtia nia John Mnyika kupata nafua kutokana na kusumbuliwa na homa kwa muda.

Habari na G Sam

Ha ha ha ha ha chama cha demokrasia kwa mafisadi bana! kwa hiyo na yeye keshakatiwa fungu sio!! poa tu, ila wasiwasi wangu huyo mtoa hela atazirudishaje gharama zake?
 
Last edited by a moderator:
Huyu pepo anaemtaja mke wa Dr. Slaa kila kukicha anaitakia nini familia ya Dr. !!!!!!. Inamaana mke wa Dr ni jela. Ok najisumbua bure kumbe we ccm ooo basi bw. Kumbe watumwa.
 
Mkuu, naomba uelewe utofauti kati ya taarifa na taarifa. Dr. Slaa hawezi kuja humu na kuandika kwamba atahudhuria kikao cha kamati kuu! Hiyo ni habari imetolewa na siyo kwamba Dr. Slaa amelishwa neno na/au maneno! Pia ni lazima ujiongeze kusoma between the lines! (Jiongeze kuhusu ile taarifa ya jana kutoka kwa ID ya Dr. W. Slaa)

Wewe ndiye unayemsemea Dr Slaa..

Kama hii ingekuwa ni habari, basi ungetoa Source hapa, hiyo ya "Habari na Gsam" hata mimi naweza kuandika. kujiongeza kupi unakodai wewe hapa? Hivi wewe na Yericko nani wa kuaminiwa zaidi hapa ndani? Huyo Yericko ndiye aliyeleta habari iliyokanushwa na Dr Slaa then wewe unakuja hapa kutuambia tutumie Habari ya jana kujiongeza kwa Habari yako.. What a Rubbish...!!!!

Kama ni mtu wa kujiongeza hapa ulitakiwa kuwa wewe, Hasa kutokana na Onyo alilotoa Dr Slaa hiyo jana. Ingawaje najua huko unakodai nijiongeze ni kutokana na Dr kudai kwamba "Atakanusha hapohapo kitakachosemwa juu yake" Lakini.swali dogo la kujiuliza.. Hivi Dr Slaa anaishi na kushinda humu ndani kiasi kila taarifa aione??? Jambo jingine ambalo ulitakiwa kujiongeza wewe mwenyewe ni Kwanini Dr Slaa aliamua kumjibu Yericko Nyerere wakati ni watuw wengi tu waliokuwa wakileta uzushi juu yake?? Yericko anafahamika kwa jina lake humu ndani, Unasaba wake na Cdm unajulikana kuanzia humu Jf mpaka Cdm kwenyewe...!!!

Sasa wewe ni nani mpaka Dr ahangaike kukujibu??? Jiongeze...!!!

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Wanamaombi ongezeni nguvu ya kuomba huu ni muda wa hatari kwa adui kushambulia.
 
Mimi siyo mdini kwa kawaida ila kwa yanayomkuta Dr Slaa kuna harufu ya udini,Mbowe ni Mlutheri na Lowassa ni Mlutheri pia,kuna uwezekano Dr Slaa yanamkuta haya yanayomkuta kwasababu ni Mkatoliki,Mbowe kuwa makini na namna mnavyomfanyia Dr Slaa, mtapoteza kura za Wakotiliki wengi,Dr Magufuli ni Mkatoliki lazima mkumbuke,tupo wengi.
 
Lizaboni njoo uthibitishe hizi habari wewe pekee ndio huwa habari zako zinakuwa credible
 
Last edited by a moderator:
Hatimaye katibu mkuu wa Chadema Dr. Willbrod Slaa kesho ataanza rasmi kuhudhuria vikao vya chama ambapo atahudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema.

Kuonekana kwa Dr. Slaa kesho kutamaliza rasmi mjadala wa muda mrefu na propaganda zilizotawala eti Dr. Slaa kajitoa Chadema.

Katika hatua nyingine, upigwaji wa kura za maoni katika jimbo la Kibamba kwa watia nia wa Chadema utafanyika kesho baada ya mtia nia John Mnyika kupata nafua kutokana na kusumbuliwa na homa kwa muda.

Habari na G Sam
Mkuu hukusoma onyo la Dr. Slaa? Ameomba mmuheshimu na kama kuna kitu ataongea yeye. Mheshimuni basi katibu wenu asije tena kuwaambia mkome.
 
Slaa aache mambo ya kususa susa kama mtoto,,. Vikao vya kumpitisha Lowasa alishiriki kikamilifu leo anajidai kususa.

Kushiriki ni jambo moja, kutokukubaliana na maamuzi ni jambo jingine kabisa
 
Mimi siyo mdini kwa kawaida ila kwa yanayomkuta Dr Slaa kuna harufu ya udini,Mbowe ni Mlutheri na Lowassa ni Mlutheri pia,kuna uwezekano Dr Slaa yanamkuta haya yanayomkuta kwasababu ni Mkatoliki,Mbowe kuwa makini na namna mnavyomfanyia Dr Slaa, mtapoteza kura za Wakotiliki wengi,Dr Magufuli ni Mkatoliki lazima mkumbuke,tupo wengi.

Teknolojia, I respect you Comrade..!!

Linapokuja suala la siasa jaribu kidogo suala la Dini likae pembeni, Nafurahi kusikia kwamba kwa Kawaida wewe si mdini, Lakini funga Novena kwaajili ya pepo huyu mchafu anayekunyemelea! Binafsi nani ni Mkatoliki, lakini linapokuja suala la kuchagua kiongozi, Dhehebu langu na Dini yangu huweka pembeni. Uwezo, Uchapakazi, Maono ya kazi ndivyo huchukua nafasi. Kamwe Dini, Dhehebu halijawahi kuwa kigezo ktk kumchagua kiongozi yeyote maishani mwangu, Natamani sana iwe hivyo hata kwako.

Kwa yanayotokea kwa Dr Slaa.

Mkuu Tek, Dr Slaa mpaka tunapoandika haya hakuwa amechukua fomu kugombea nafasi ya Urais ndani ya Cdm. Kinachotokea kudelay kwa Dr Slaa ni kusimmia misingi tu hakuna kingine chochote. Na kinachotokea kwa Mbowe na Lowassa ni hamu ya kuongoza na Matamanio ya kuiondoa ccm Madarakani. Hakuna suala lolote linalohusiana na Misingi ya Dini ili kufikia Maamuzi hayo. Ondoa mawazo hayo Kamanda wangu.

BACK TANGANYIKA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom