Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
Na kwa upepo uu ulivo wa kisiasa atasahaulika mapema aungane na wenzako misimamo mengine haifai lengo ni kuitoa serikali madarakaniHapo umenena kweli. Nadhani katika hili Dr Slaa hajashauriwa vizuri. Siasa ni dynamic na kama huwezi kwenda na mawimbi lazima utazama.