Dr. Wilbrod Slaa kesho kuanza rasmi vikao vya chama

Dr. Wilbrod Slaa kesho kuanza rasmi vikao vya chama

Status
Not open for further replies.
Dr Kasema anaomba utulivu, kama kunataarifa yoyote yeye mwenyewe ndiye atakayeitoa, iwe hapa jukwaani au kuitisha Press na waandishi wa habari. Kakataa kumlisha maneno kinywani mwake, Hivi mnashindwaje kuwa na subira??

BACK TANGANYIKA

Hatuna subira kwasababu tunampenda Dr. Slaa. Hatuko tayari kum-miss. We cannot afford to miss Him.
 
Vipi nape kaachiwa huru na taasisi ya kuzuia rushwa huko mtama?
Ah wapi kashikwa anagawa khanga duh!!!!Halafu kuta anamnanga fisadi mwenzake eti ananunu vyeo sasa sijui yeye anauza vyeo....
 
Hahaaah imebidi niangue kicheko mpaka watu hapa wananishangaa.
Hizi katuni za sasa zina ujumbe mzuri sometime unakera lakini zimejaa usheshi wa hali ya juu.

Hahaa..mkuu hata kama zimemsema vibaya mtu unayemkubali lazima utacheka tu..haswa hizi za said Michael
 
Ah wapi kashikwa anagawa khanga duh!!!!Halafu kuta anamnanga fisadi mwenzake eti ananunu vyeo sasa sijui yeye anauza vyeo....

Mwaka huu ma ccm wanaumbuka kweli kweli na mungu ataendelea kuwaumbua
 

Attachments

  • 1438535206027.jpg
    1438535206027.jpg
    67.7 KB · Views: 496
Hivi chama hiki kina wasemaji wangapi? Kila mwanachama ni msemaji wa chama? Kama bwawa la kambale mmekuwa
 
To you the younger generation and leaders of tomorrow, I must tell you, that, Pioneers never live to see or enjoy fruits of their labor, they establish new trails so you can all safely pass through.

We are living in a new era. Era of “New World Economic Order” an era whereby where only the strong survive!

Even though my days have numbered, my struggle for equality between stronger and weaker nations will never stop. My struggle for fairness between nations will never stop. My Struggle for comparative Economic Advantage, and social justice will live on. My fight against corruption will never stop. I will never compromise these principles as long as I live.

I may never live to see my beautiful country enjoy its comparative economic advantage, but my children, my grandchildren and millions of young people in my country, fed-up with lifelong corruption, mismanagement and social injustice will. This is what, I m living for. I am living for Economic and social liberation

Well, this is what pioneers do!


Dr. Wilbrod Peter Slaa,
Keynote Adress: Purdue University,
April, 2015

Umevurugwa wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom