Dr. Wilbrod Slaa kesho kuanza rasmi vikao vya chama

Status
Not open for further replies.
Dr. Wilbrod Slaa alianza novena maalum kwa ajili ya kuomba 'Mwanga wa Roho Mtakatifu' ili amsaidie kutoa maamuzi bora kwa maendeleo zaidi ya chama chetu Chadema na taifa kwa jumla.

Mwanzaoni nilipewa taarifa kuwa novena hiyo maalum ingeisha jana na nikaambiwa kuwa atakuwepo kwenye vikao vya chama kuanzia leo (kwani pia nilihakikishiwa kuwa Dr. Slaa amepewa maono mema ya kuendelea na chama)

Sasa kumbe novena hiyo itaisha kesho jumanne na naamini kuwa jumatano mambo yatakuwa shwaaari kabisa!

Rai yangu kwa wana Chadema tunaoamini katika siasa za kiongozi wetu huyu mpendwa kuendelea kufunga na kuomba pamoja naye ili chama chetu kiendelee kushimiri hasa kwenye kipindi hiki cha uchaguzi mkuu.

Tuendelee kutoa Shauri zetu mbalimbali hasa tukijua kuwa Chadema inahitaji wabunge, madiwani na UKAWA kwa jumla inahitaji rais.

Chadema ni zaidi ya Lowassa amekuja akaikuta Chadema hivyo siyo busara sana kumsusia Lowassa chama eti kwa vile kaingia!

Ni vyema tukajua kuwa Lowassa naye ni binadamu (Ana damu na nyama pia) kumsakama ni kuendelea kumvunja moyo! Lowassa ameonyesha jitihada sahihi kabisa za kujiweka karibu na jamii! Anakubalika! Anakubalika! Anakubaliks! Ana mikakati mizuri ya kushinda na ameonyesha kwa vitendo! Tumpe naye nafasi ili moyo wake utulie!

Naomba niwahakikishie kuwa Dr. Slaa anapewa shauri mbalimbali na yeye ameingia kwenye maombi maalum! Mungu wetu ni wa wote anajali pale kwenye toba ya kweli!

Tumsubiri Dr. jumatano ila tusiwe na shaka kabisa! Dr. anashauriwa vizuri mno na maombi anaofanya yanaenda kutoa jibu (Tuombe na kuamini pamoja naye)
 
G Sam tupo pamoja ila Raia Tanzania kesho wanaamka na propaganda zingine.Kama ni kweli usemayo sijui wale Wahariri wa Raia Tanzania watajificha wapi mbele ya watanzania.
 
Dr slaa wewe ni muhimu sana. Imagine jinsi ambavyo utaikosesha tz mabadiliko ya kihistoria. Rudisha moyo wako unahitajika sana
 
Story zako zinafurahisha sana kama siyo kusikitisha!

Kwa nini usitumie kipaji chako kwenye masuala ya uigizaji?

Umesoma vizuri kile umekiandika kama kina mantiki?

Kwa nini afanye novena maalum kwa sasa wakati alifahamu kuna vikao muhimu vya chama vinakuja?

Umejua vipi Dk. Slaa atapewa maono mazuri ili ahudhurie vikao vya chama wakati unadai yuko kwenye novena maalum?

This is more than classic argumentum ad populum!

Half knowledge is worse than ignorance!
 
G Sam tupo pamoja ila Raia Tanzania kesho wanaamka na propaganda zingine.Kama ni kweli usemayo sijui wale Wahariri wa Raia Tanzania watajificha wapi mbele ya watanzania.

mbowe mfanyabiashara
 
Chanzo cha taarifa hii ni nani? Na je inauthibitisho wowote?Maana kimsingi morali ya baadhi yetu juu ya chama chetu imeshuka,please mtoa mada hebu njoo unitoe dukuduku.
 
Dr. Wilbrod Slaa alianza novena maalum kwa ajili ya kuomba 'Mwanga wa Roho Mtakatifu' ili amsaidie kutoa maamuzi bora kwa maendeleo zaidi ya chama chetu Chadema na taifa kwa jumla.

Mwanzaoni nilipewa taarifa kuwa novena hiyo maalum ingeisha jana na nikaambiwa kuwa atakuwepo kwenye vikao vya chama kuanzia leo (kwani pia nilihakikishiwa kuwa Dr. Slaa amepewa maono mema ya kuendelea na chama)

Sasa kumbe novena hiyo itaisha kesho jumanne na naamini kuwa jumatano mambo yatakuwa shwaaari kabisa!

Rai yangu kwa wana Chadema tunaoamini katika siasa za kiongozi wetu huyu mpendwa kuendelea kufunga na kuomba pamoja naye ili chama chetu kiendelee kushimiri hasa kwenye kipindi hiki cha uchaguzi mkuu.

Tuendelee kutoa Shauri zetu mbalimbali hasa tukijua kuwa Chadema inahitaji wabunge, madiwani na UKAWA kwa jumla inahitaji rais.

Chadema ni zaidi ya Lowassa amekuja akaikuta Chadema hivyo siyo busara sana kumsusia Lowassa chama eti kwa vile kaingia!

Ni vyema tukajua kuwa Lowassa naye ni binadamu (Ana damu na nyama pia) kumsakama ni kuendelea kumvunja moyo! Lowassa ameonyesha jitihada sahihi kabisa za kujiweka karibu na jamii! Anakubalika! Anakubalika! Anakubaliks! Ana mikakati mizuri ya kushinda na ameonyesha kwa vitendo! Tumpe naye nafasi ili moyo wake utulie!

Naomba niwahakikishie kuwa Dr. Slaa anapewa shauri mbalimbali na yeye ameingia kwenye maombi maalum! Mungu wetu ni wa wote anajali pale kwenye toba ya kweli!

Tumsubiri Dr. jumatano ila tusiwe na shaka kabisa! Dr. anashauriwa vizuri mno na maombi anaofanya yanaenda kutoa jibu (Tuombe na kuamini pamoja naye)

1438611125726.jpgNateseka mno na hiki kinachoendelea ndani ya CHADEMA na Dr. Slaa naomba iwe hivyo kwakweli... Tuna matumaini makubwa sana na CHADEMA na Dr.slaa na LOWASSA. Uwepo wa LOWASSA ndani ya CHADEMA utanoga zaidi kama ujio wake hautaleta mtafaruku na mvurugano..... Dr. Mungu akupe wepesi tunakusubiri kwa hamu kubwa....1438611125726.jpg
 
Jana nilikwambia Dr kasema mumuache bado husikii ? si mkae kimya kama yeye alivyo kaa kimya?
 
Mmekinajisi CHADEMA kwa taamaa zenu za Pesa

Chama hiki watu wamekufa ....kwa sababu ya CHADEMA

Huwezi kumtosa Slaa ata Expense ya Lowasa...Never....Ni ujuha

Misingi ya Chama imekiukwa...

Chama kimegeuka kuwa Opoortunistic...Kimeacha misingi ya kuanzishwa kwake

Hiki chama ni kibaya kuliko CCM

Ni bora tukaendelea na CCM kuliko hiki chama cha wezi wenye uchu mkubwa wa madaraka

Dr Nakuunga mkono sana katika msimamo wako....Niko pamoja na wewe ...kama utastaafu nami pia ntakuwa Passive
 
Slaa awepo asiwepo UKAWA inashinda Urais Mwaka huu ... CCM bye bye ... Kanisa lisitupotezee wapenda mabadiliko...
 
Jana nilikwambia Dr kasema mumuache bado husikii ? si mkae kimya kama yeye alivyo kaa kimya?

Mkuu, Dr. Slaa kwa sasa anatutegemea mimi na wewe tumpe ushauri mzuri na tuombe kwa ajili ya mapenzi mema ya chama chetu! Tisisuse na kusema eti 'ataamua'
 
Nimeihakikisha kauli ya Mwalimu Nyerere,Bila CCM madhubuti,nchi itayumba
 
  • Thanks
Reactions: jme
Dr. Wilbrod Slaa alianza novena maalum kwa ajili ya kuomba 'Mwanga wa Roho Mtakatifu' ili amsaidie kutoa maamuzi bora kwa maendeleo zaidi ya chama chetu Chadema na taifa kwa jumla.

Mwanzaoni nilipewa taarifa kuwa novena hiyo maalum ingeisha jana na nikaambiwa kuwa atakuwepo kwenye vikao vya chama kuanzia leo (kwani pia nilihakikishiwa kuwa Dr. Slaa amepewa maono mema ya kuendelea na chama)

Sasa kumbe novena hiyo itaisha kesho jumanne na naamini kuwa jumatano mambo yatakuwa shwaaari kabisa!

Rai yangu kwa wana Chadema tunaoamini katika siasa za kiongozi wetu huyu mpendwa kuendelea kufunga na kuomba pamoja naye ili chama chetu kiendelee kushimiri hasa kwenye kipindi hiki cha uchaguzi mkuu.

Tuendelee kutoa Shauri zetu mbalimbali hasa tukijua kuwa Chadema inahitaji wabunge, madiwani na UKAWA kwa jumla inahitaji rais.

Chadema ni zaidi ya Lowassa amekuja akaikuta Chadema hivyo siyo busara sana kumsusia Lowassa chama eti kwa vile kaingia!

Ni vyema tukajua kuwa Lowassa naye ni binadamu (Ana damu na nyama pia) kumsakama ni kuendelea kumvunja moyo! Lowassa ameonyesha jitihada sahihi kabisa za kujiweka karibu na jamii! Anakubalika! Anakubalika! Anakubaliks! Ana mikakati mizuri ya kushinda na ameonyesha kwa vitendo! Tumpe naye nafasi ili moyo wake utulie!

Naomba niwahakikishie kuwa Dr. Slaa anapewa shauri mbalimbali na yeye ameingia kwenye maombi maalum! Mungu wetu ni wa wote anajali pale kwenye toba ya kweli!

Tumsubiri Dr. jumatano ila tusiwe na shaka kabisa! Dr. anashauriwa vizuri mno na maombi anaofanya yanaenda kutoa jibu (Tuombe na kuamini pamoja naye)

Mkuu G Sam umeandika vema sana haswa Suala la NOVENA,Najua hata wewe huwa unafanya...ila naomba kutoa maoni yangu binafsi yalio huru..
mimi kama Mkristu RC,HUWA Kama ukipata majaribu kama haya kweli unafanya novena ya siku 9,inawezekana kweli yupo kwenye Meditation:
Lakini meditation na majibu yake huwa ni kati ya yeye na MUNGU TUU,Sasa wewe umeyajuaje majibu?
Pili:Ukiwa binadamu unaeongozwa na Roho mtakatifu yaani kabla ya maamuzi unaomba kwanza....namaanisha wapo watu wengi hasa makazini Au Kwenye Taasisi Kubwa huamua kufanya mambo haswa mabosi kwa kufuata "EMOTIONS" Mihemuko...yaani flani anasema nini,nani ananiambia nini.
Mwache Doctor siku akiamua Maamuzi yake pia yaheshimiwe,kwasababu hutakuja kumsaidia hatma ya Maamuzi yake..
Mwisho..Mkuu kwanini yeye tuu ndo anafuatwa kwanini asifuatwe na alieamua kutufikisha hapa?aliesababisha hali hiyo? Ili nae aelezwe kuangaliwe namna pia ya Kubadili Maamuzi yake au Slaa awe Mgombea Urais halafu yeye awe anamuunga mkono baadae Waziri Mkuu...kwani si tayari ana wafuasi?na Tayari yupo chamani.A Inaweza kuwa B,Au ni lazima iwe A TUUUU.Mi nafikiri tufikirie na Upande wa Pili,kwasababu lengo kuu tayari mwenye wafuasi wengi tunae,ni suala la Kuamua nani Agombee yeye Atoe support.
Nimalizie kwa kusema ukijikwaa Unaangalie ulipojikwaa Au ulipoangukia?
 
Mkuu, Dr. Slaa kwa sasa anatutegemea mimi na wewe tumpe ushauri mzuri na tuombe kwa ajili ya mapenzi mema ya chama chetu! Tisisuse na kusema eti 'ataamua'

There is no more time for that

Muda ulikuwepo wa kutosha wa mbowe kufanya consultation na Dr na kukubaliana katika kila jambo

Mbowe kaamua kufanya udikteta na kudharau Ushauri wa Dr

Mbaya zaidi Mtei kasema yeyote ambaye hataki Lowasa aje chadema atamfukuza

Dr nenda baba

CHADEMA ya sasa sio chama kinachosimamia misingi yake
 
Nimeihakikisha kauli ya Mwalimu Nyerere,Bila CCM madhubuti,nchi itayumba

ni kweli mkuu hata Mimi nimekumbuka maneno ya mzee yusuph makamba aliysema chadema mtu anayechukia ufisadi ni Dr slaa tu akasema wengine ukipenyeza rupia utawaona tu
 
Novena, likizo, kastaafu, kafungiwa na wife...ipi ni ipi wacha porojo we g string
 
Kaka naweza kukuamini. Novena inatokana na neno la kilatini "novem", yaani "tisa". Huwa ni sala ya siku tisa.

Sasa kwa kumbukumbu zangu Dr. Slaa alioneana kwenye picha kwenye kamati kuu wanampokea Lowasa ikiwa ni jioni ya July 26, 2015. Kuanzia kesho yake, July 27, 2015 akatoweka hadharani. Kama hiyo siku ya kutoweka hadharani ndiyo ilikuwa siku ya kwanza ya novena, basi siku ya tisa ni August 04, 2015 ambayo ni kesho.

Hivyo, Wednesday, August 05, 2015 novena itakuwa imekwisha na inaendana na utabiri wako kwamba Jumatano atakuwa nasi hadharani.

Karibu sana Dr. Slaa.

Cc:
Gsam
 
View attachment 273310Nateseka mno na hiki kinachoendelea ndani ya CHADEMA na Dr. Slaa naomba iwe hivyo kwakweli... Tuna matumaini makubwa sana na CHADEMA na Dr.slaa na LOWASSA. Uwepo wa LOWASSA ndani ya CHADEMA utanoga zaidi kama ujio wake hautaleta mtafaruku na mvurugano..... Dr. Mungu akupe wepesi tunakusubiri kwa hamu kubwa....View attachment 273310

Usiteseke...vumilia..wewe mwenyewe ulichagua kuingia kwenye chama cha mtu binafsi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom