Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,261
- 98,288
Mmekinajisi CHADEMA kwa taamaa zenu za Pesa
Chama hiki watu wamekufa ....kwa sababu ya CHADEMA
Huwezi kumtosa Slaa ata Expense ya Lowasa...Never....Ni ujuha
Misingi ya Chama imekiukwa...
Chama kimegeuka kuwa Opoortunistic...Kimeacha misingi ya kuanzishwa kwake
Hiki chama ni kibaya kuliko CCM
Ni bora tukaendelea na CCM kuliko hiki chama cha wezi wenye uchu mkubwa wa madaraka
Dr Nakuunga mkono sana katika msimamo wako....Niko pamoja na wewe ...kama utastaafu nami pia ntakuwa Passive
Upepo unavuma sana mwaka huu