Dumelo
Senior Member
- Apr 23, 2015
- 139
- 235
Kwann mnamshambulia Mbowe katika hili?, kwann msianze na maamuzi ya Ukawa kwa ujumla, maana kuna kila dalili zilizoonyesha wenzao kupinga Dr. Slaa kuteuliwa kuwakilisha ukawa, bado kungekua na mpasuko uleule iwapo Slaa angeteuliwa kugombea, Cuf walishaonyesha uroho wa madaraka, mi nadhani tuombe kwa pamoja ili Dr. Slaa aungane na wenzie.