Hatimaye katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa kesho ataanza rasmi kuhudhuria vikao vya chama ambapo atahudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema.
Kuonekana kwa Dr. Slaa kesho kutamaliza rasmi mjadala wa muda mrefu na propaganda zilizotawala eti Dr. Slaa kajitoa Chadema.
Katika hatua nyingine, upigwaji wa kura za maoni katika jimbo la Kibamba kwa watia nia wa Chadema utafanyika kesho baada ya mtia nia John Mnyika kupata nafua kutokana na kusumbuliwa na homa kwa muda.
Habari na G Sam
Yericko,
Siasa ya unafiki sipendi. Nimenyamaza lakini naona mnazidi kunichokoza. Ni afadhali mngelikaa kimya kama nilivyonyamaza mimi. Uwongo wowote na upotoshwaji wowote sitauvumilia. Nitaukanusha hapo hapo. Hata kama una lengo lako ambalo silifahamu naomba sana usitumie jina langu. Nimefundishwa uwongo ni dhambi siko tayari kushiriki dhambi hiyo.
sina kikao chochote cha Secretariat sina mpango wowote ninaopanga kuwasilisha popote. Naomba watanzania wapuuze propaganda zote zinazofanyika kwa jina langu.
Ningehitaji kutuma taarifa yoyote kwa umma ningeliita Press Conference Mwenyewe au ningelitumia utaratibu wowote uliouliozoeleka.
Naomba kutoa onyo kwa mtu yeyote awaye, matumizi ya jina la Dr Slaa yakome.
==========
Moderator:
Baada ya wadau kutaka maoni ya Dr. Slaa yajitegemee na hoja ya Yericko ifungwe, tumeona ni vema kuiweka hoja hii ikijitegemea kama ilivyopendekezwa. Majibu ya msingi yapo hapa
Mkuu,mimi huwa sibahatishi!
Niko hapa bahari beach,Dr yupo kikaoni!!
Zilikua mbinu za kuwapoteza Maccm!!
Acha uongo na Uzushi nipo hapa kikaoni na nimekaa meza ya tatu
Dr hayupo hapa
Unadanganya kwa maslahi ya nani?
Hapa hayupo Dr slaa...acha uongo usio na tija
Mkuu,mimi huwa sibahatishi!
Acha uongo na Uzushi nipo hapa kikaoni na nimekaa meza ya tatu
Dr hayupo hapa
Unadanganya kwa maslahi ya nani?
Hapa hayupo Dr slaa...acha uongo usio na tija
Meza ya tatu ipi?Acha uongo na Uzushi nipo hapa kikaoni na nimekaa meza ya tatu
Dr hayupo hapa
Unadanganya kwa maslahi ya nani?
Hapa hayupo Dr slaa...acha uongo usio na tija
Sijamsakama Dr. Slaa, nimetoa taarifa halali kwa wanachama wa Chadema
Majibu ya Mbowe.
sasa mkuu tukuweke kwenye kundi la Yericko nyerere na wewe ....
hivi mkiandika ukweli mnapungukiwa nini..?
Acha uongo na Uzushi nipo hapa kikaoni na nimekaa meza ya tatu
Dr hayupo hapa
Unadanganya kwa maslahi ya nani?
Hapa hayupo Dr slaa...acha uongo usio na tija
Hatimaye katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa kesho ataanza rasmi kuhudhuria vikao vya chama ambapo atahudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema.
Kuonekana kwa Dr. Slaa kesho kutamaliza rasmi mjadala wa muda mrefu na propaganda zilizotawala eti Dr. Slaa kajitoa Chadema.
Katika hatua nyingine, upigwaji wa kura za maoni katika jimbo la Kibamba kwa watia nia wa Chadema utafanyika kesho baada ya mtia nia John Mnyika kupata nafua kutokana na kusumbuliwa na homa kwa muda.
Habari na G Sam
Meza ya tatu ipi?
Sasa Dr.Yuko Wapi?