James Lutumo jr
New Member
- May 5, 2015
- 1
- 2
Kama ni mtu makini huwezi kudharau mchango wa Dr slaa katika siasa za upinzani za nchi hii wale waosema aondoke tuu ninawashangaa sana
Leo ndio mwisho wa Magamba Kupumua humu JF.. Watakimbia wote humu
Ni kweli kaonekana anaingia hapa bahari beach
Hatimaye katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa kesho ataanza rasmi kuhudhuria vikao vya chama ambapo atahudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema.
Kuonekana kwa Dr. Slaa kesho kutamaliza rasmi mjadala wa muda mrefu na propaganda zilizotawala eti Dr. Slaa kajitoa Chadema.
Katika hatua nyingine, upigwaji wa kura za maoni katika jimbo la Kibamba kwa watia nia wa Chadema utafanyika kesho baada ya mtia nia John Mnyika kupata nafua kutokana na kusumbuliwa na homa kwa muda.
Habari na G Sam
Mkuu ile kesho ulioisema jana ndio leo, mbona hatuoni wala hatu sikii chochote?
Atavaa nini😕
Hatimaye katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa kesho ataanza rasmi kuhudhuria vikao vya chama ambapo atahudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema.
Kuonekana kwa Dr. Slaa kesho kutamaliza rasmi mjadala wa muda mrefu na propaganda zilizotawala eti Dr. Slaa kajitoa Chadema.
Katika hatua nyingine, upigwaji wa kura za maoni katika jimbo la Kibamba kwa watia nia wa Chadema utafanyika kesho baada ya mtia nia John Mnyika kupata nafua kutokana na kusumbuliwa na homa kwa muda.
Habari na G Sam
Dr hayupo kikaoni
Wewe CCM hebu shughulikia mambo ya Ma CCM wenzako
Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu
Dr Slaa amejiuzulu uongozi chadema na kujivua uanachama wa chadema