Mzee ulisema 2010 ulishinda ila tu haukutangazwa, Je endapo CHADEMA ingekusimamisha mwaka huu - unatuamisha sisi wapenzi wako kwamba ungeshinda tena ila safari hii ungetangazwa mshindi na kuapishwa?.Majibu ya Dr Slaa
Wapenzi wangu nawaomba watulie tu. Kama nilivyowaambia Nimeachana na Active Party Politics, walidhani maana ya kauli hiyo ni kufunga Mdomo.
===============================
hana tija tena kwetu subiri aje na chorus nyingine nasikia ana brush kichwa kidogo huko mbele
akija atasajiri chama chake na mchumba ake
Mbowe turudishie chadema yetu. Umetuuza kwa bei chee.
Kabakia na Nyani Ngabu?Pole zake,na Josephine yuko naye au kabakia na Nyani Ngabu huko Newyork city?
..,kwamba kuna watu mlikuwa kwenye chama kwa kuabudu mtu kwahiyo itikadi,Sera havikuwa na maana yoyote,kwenu Chadema ilikuwa ni Dr basi!! inashangaza sana!
Ulimbukeni wa mapenzi umemponza huyo Dokta wenu
Kwangu mimi dr slaa atabakia kua shujaa wangu,pamoja na mapungufu yake kama walivyo binadam wenginee
Kwa hiyo unataka kusema itikadi Na sera za Chadema ndio zilizomsafisha Lowassa kutoka fisadi mkuu hadi mgombea Safi wa Urais?..,kwamba kuna watu mlikuwa kwenye chama kwa kuabudu mtu kwahiyo itikadi,Sera havikuwa na maana yoyote,kwenu Chadema ilikuwa ni Dr basi!! inashangaza sana!
So mbaya hata pesa ilimsaliti yesu, sembuse wewe kumsaliti lowasa na ukawa? Endelea kuponda maisha Baba, ulilolifanya sio geni hapa duniani, Mungu atatupigania ndani ya nchi yetu.
Hizi siasa za kuzungusha mikono badala ya sera zimewaharibu watu, hivi kutokubalina Na Lowassa ni Ulimbukeni?Ulimbukeni wa mapenzi umemponza huyo Dokta wenu